SHANGAZI; Nina mpenzi ambaye nampenda kwa dhati. Amekuwa akiniambia ananipenda pia. Hata hivyo, nimesikia ana tabia ya kutumia wanawake kisha kuwatema. Nimeambiwa na mwanamume rafiki yake. Nipe ushauri.Utakosea kuchukulia habari hizo kuwa za kweli hasa kama hujaona dalili za yeye kutokuwa mwaminifu kwako. Labda rafiki yake anataka kuharibu uhusiano wenu. Kama ana tabia hiyo utajua
3 hours ago
NA MWANGI MUIRURI WATU wanane wa familia moja katika Kaunti ya Murang’a, akiwemo ajuza wa miaka 78, waliponea kifo baada ya kushambuliwa na jamaa wao mraibu wa mihadarati mnamo Machi 14 mwaka huu. Akifunguka hivi majuzi, Bw Francis Maina asema aligundua mwanawe wa kiume wa kipekee Eric Mwangi, 20, alikuwa akitumia dawa za kulevya miaka
4 hours ago
A SADC report said the Zimbabwe polls did not meet regional and international standards.
5 hours ago
The wife of Gabon's ousted president Ali Bongo Ondimba has been charged with "money laundering" and other offences
5 hours ago
Liberians are scheduled to go to the polls on October 10 to vote for president and lawmakers.
8 hours ago
Christopher Nkunku hatimaye ametoa update ya jeraha la goti, kwa kuwapa mashabiki wa Chelsea kionjo cha video ambazo yupo gym kwenye ukurasa wake wa instagram. Mchezaji huyo wa majira ya kiangazi bado hajacheza mechi yake ya kwanza ya ushindani akiwa na Chelsea tangu alipowasili kwa pauni milioni 52 kutoka BRB Leipzig. Alipata jeraha la goti
10 hours ago
Flamengo ya Brazil ilimfukuza kazi kocha Jorge Sampaoli siku ya Alhamisi, chini ya wiki moja baada ya Muargentina huyo kukosa jaribio lake la mwisho la kushinda taji katika klabu hiyo. Kocha huyo wa zamani wa Argentina, Sevilla na Marseille Sampaoli alichukua kazi huko Rio de Janeiro mnamo Aprili. Mkataba wake ulipaswa kumalizika mwishoni mwa 2024.
11 hours ago
Nahodha wa Bayern Munich Manuel Neuer alirejea kwenye mazoezi ya timu siku ya Alhamisi, miezi 10 baada ya kuvunjika mguu katika ajali ya kuteleza kwenye theluji. “Ni hisia nzuri kurejea uwanjani na wachezaji wenzangu,” alisema. “Nilikuwa nikitarajia hilo.” Neuer alishiriki katika mazoezi ya walinda mlango na Sven Ulreich na Daniel Peretz, makipa wengine wawili wa
11 hours ago
NA TITUS OMINDE MWANAMUME anayedaiwa kumuua babake aliyekuwa na umri wa miaka 68 baada ya mzee huyo kukataa kumpa pesa za kwenda hospitalini kwa matibabu, ameshtakiwa kwa mauaji. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 32 alishtakiwa baada ya ripoti ya uchunguzi wa kimatibabu kutoka hospitalini kuthibitisha kwamba alikuwa sawa kiakili kujibu mashtaka. Upande wa mashtaka
11 hours ago
Tanzanian mining practices have impressed Ugandan experts who are in the country to learn about open pit and underground mining as well as the methods for mineral research.
13 hours ago
The National Bank of Commerce (NBC) is seeking to increase access to housing loans through a new campaign that targets accelerating the availability of improved homes in the country.
14 hours ago
NA JANET KAVUNGA SHANZU, MOMBASA MWANADADA wa hapa aliwaita makalameni wawili waliokuwa wakimmezea mate kwa kikao na kutaka kila mmoja amweleze kwa nini anampenda kabla ya kufanya uamuzi. Demu alichukua hatua hiyo majamaa hao ambao ni marafiki walipogombana kila mmoja akilaumu mwenzake kwa kunyemelea mpenzi wake. Binti wa watu alicheza kama yeye kwa kuwaleta kwenye
14 hours ago
DRC president urged the pullout to begin by the end of this year, rather than December 2024 as planned.
15 hours ago
NA RICHARD MUNGUTI MENEJA wa Family Bank ameshtakiwa kwa wizi wa Sh66.9 milioni. Elias Kinyua Njue alikana mbele ya hakimu mkazi Ben Mark Ekhubi kwamba aliibia benki hiyo Sh66,912,724 mnamo Agosti 3, 2023. Njue alikana aliiba pesa hizo kutoka makao makuu ya benki hiyo jijini Nairobi. Mshtakiwa alikana alichomoa pesa hizo alipokuwa anahusika na masuala
16 hours ago
Karti was foreign minister from 2010 to 2015 in the government of now-deposed dictator Omar al-Bashir.
16 hours ago
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 29. 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
17 hours ago
NA LABAAN SHABAAN MSEMO wa siku ya nyani kufa miti yote huteleza uliafiki kabisa kwa tapeli aliyejipeleka mtegoni akanaswa papo hapo. Mwizi sugu wa kadi za laini za simu yaani ‘sim cards’ amekamatwa na makachero wa Thika, Kaunti ya Kiambu akiwa katika harakati ya ukora wa kubadilisha sim card kwenye duka la kampuni ya mawasiliano ya Safaricom.
17 hours ago
NA FRIDAH OKACHI IDADI ya Wakenya ambao wamekumbatia matumizi ya pikipiki za umeme imeanza kuimarika kwa miezi michache iliyopita. Wauzaji wa pikipiki hapa jijini Nairobi, wanasema wamekuwa wakishuhudia ongezeko hilo kila uchao. Jimmy Tume ambaye ni mmiliki wa kampuni ya E-Worker Mobility na muuzaji wa pikipiki za umeme jijini Nairobi, anasema punde tu baada ya kuongezeka kwa
18 hours ago
NA KALUME KAZUNGU NI taaluma aliyoipenda tangu akiwa binti mchanga wa umri wa miaka 20 pekee. Na sasa akiwa ajuza aliyetinga miaka 64, Bi Khadija Hakofa Dawa katu hafikirii kuiacha tasnia hiyo ambayo ameiweka mahali pema katika chemba cha moyo wake. Akidumu katika ushonaji wa kofia hizo za vito kwa miaka 44 sasa, Bi Hakofa
19 hours ago
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 29, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
20 hours ago
SHANGAZI; Kuna mwanamume aliyekuwa mpenzi wangu lakini nikamchukia na kumuacha alipotaka kunilazimisha tushiriki mahaba. Sasa amerudi kwangu akiomba turudiane. Nipe ushauri. Hatua ya mwanamume huyo ni ishara kuwa anakupenda kwa dhati na hataki kukupoteza. Kama bado unampenda, mkubali na umwelezee jinsi unavyotaka muendeshe uhusiano wenu. Miaka 15 sijapata mke, nimerogwa? Nilianza kutafuta mke nikiwa na
1 day ago
They however argued that the matter of funding must now be urgently addressed to providing certainty to their stay.
1 day ago
Na RUSHDIE OUDIA WAHUDUMU wa magari ya umma watakaopiga kelele katikati mwa mji wa Siaya sasa watalazimika kulipa faini ya Sh10,000. Magari ya umma pia yamemepigwa marufuku katikati mwa mji na yeyote atakayepatikana akikiuka sheria hiyo mpya atalazimika kulipa Sh50, 000. Kulingana na Mswada mpya wa Fedha wa Kaunti ya Siaya 2023, madereva na makanga
1 day ago
NA JANET KAVUNGA MALINDI MJINI JOMBI wa hapa alijuta kukutana na mpenzi wake wa zamani, mkewe alipopata habari na kumfokea vikali. Jamaa alisema alikutana na ex wake katika mkahawa, wakasalimiana na kupiga gumzo huku wakiteremsha kikombe cha kahawa. Hata hivyo, kidudu-mtu alimuona na moja kwa moja akamrushia mkewe umbea, naye akachukua simu na kumtumia mumewe
1 day ago
Scholars say the reshuffle at the Ministry of Foreign Affairs illustrates a major policy shift in Rwanda's regional policy.
1 day ago
This comes nearly a year to the day since junta leader Captain Ibrahim Traore seized power
1 day ago
Kenya Ports Authority data shows total cargo at the port was flat last year, falling by 1.94 percent to 33.88 million metric tonnes.
1 day ago
The EACRF is currently funded by the EAC partner states.
1 day ago
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 28. 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
1 day ago
The pipeline is part of a $10 billion project to develop oilfields in Lake Albert in Northwestern Uganda.
1 day ago
NA FRIDAH OKACHI MTENGENEZAJI maudhui kwenye jukwaa la TikTok, Brian Chira, ameomba msamaha kwa mara nyingine kufuatia matamshi yake machafu mtandaoni, yaliyolenga waliomsaidia. Kijana Brian anadai kuwa kwa muda wa siku tatu mfululizo zilizopita, amekuwa akitatizika kutokana na ugumu wa maisha. Awali, baadhi ya wafuasi wake walijitokeza kumsaidia kwa hali na mali. Aidha, alichangiwa zaidi
1 day ago
Timu zilizofuzu Makundi CAF Champions League 2023/2024, Timu zilizofuzu Makundi , Timu zilizofuzu Makundi CAF , Timu zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa CAF, Timu zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa CAF Champions League, Timu zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa CAF Champions League, Timu zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa CAF Champions League 2023/24, Timu zilizofuzu Makundi CAF Champions League 2023/24
1 day ago
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 28, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
1 day ago
SHANGAZI; Nina umri wa miaka 30. Kuna mwanamke amenivutia kimapenzi na ninaamini kuwa yeye pia ananipenda. Ni mrembo sana na naogopa kumwambia kwani sina hakika kama atanikubali. Naomba ushauri wako.Uhusiano wa kimapenzi hutokana na wawili kupendana. Unapotafuta mpenzi ni lazima uwe tayari kukataliwa. Unaweza kukataliwa na wanawake kadhaa kabla upate anayekupenda. Mfungulie moyo wako ili
2 days ago
NA RICHARD MUNGUTI BINGWA wa Safari Rally Maxine Wahome alikuwa ameolewa na mtu mkorofi, mahakama imeambiwa. Jaji Lilian Mutende alifahamishwa na Chemutai Sogomo Chepkorir, jirani wa Assad Kalulu Khan karibu miaka 10, kwamba “uhusiano wao ulikuwa wa kelele na vita.” “Assad alikuwa na uhusiano mara sita na wanawake na alikuwa akiwachapa kila uchao,” akasema Chemutai aliyekuwa
2 days ago
The Kenya government, and President William Ruto, have received a lot of stick from African and black Diaspora radicals ever since it emerged that Nairobi was to contribute forces to help stabilise crisis-hit Haiti.
2 days ago
Tanzania is currently in the throes of yet another season of power rationing, a painful annual ritual that has persisted for three consecutive years since the passing of President John Magufuli.
2 days ago
NA MKAMBURI MWAWASI TUME ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (KNHCR) imekubaliana na mshukiwa mkuu wa vifo vya Shakahola, Bw Paul Mackenzie, kwamba haki zake nyingi zinakandamizwa akiwa kizuizini. Kulingana na ripoti iliyowasilishwa mahakamani Shanzu na tume hiyo, imebainika malalamishi mengi ya Bw Mackenzie na washukiwa wengine tisa kuhusu hali mbaya wanayopitia gerezani ni kweli.
2 days ago
Relations between Niger and France have broken down since army officers seized power in Niamey in July.
2 days ago
Ni Mkali kutokea Nigeria, Eltee Skhillz ambae time hii anatarajiwa kutua kwaajili ya kuwaburudisha na kuwaimbia Watanzania. Staa huyo atatoa burudani ya nguvu kwa mara ya kwanza katika chimbo la Kidimbwi Beach lililopo Mbezi Jijini Dar es Salaam Jumapili hii ya tarehe 1 Mwezi wa Octoba 2023. Na Miogoni mwa nyimbo zake ziliomtambulisha ni hii
2 days ago
Andros Townsend amekaribia kurejea Tottenham, kufanya mazoezi huku akiendelea kutafuta klabu yake nyingine. Townsend alipitia akademi ya Spurs, lakini aliihama klabu yake ya utotoni miaka saba iliyopita na kusaini Newcastle, baadaye akahamia Crystal Palace na hivi karibuni Everton. Winga huyo mwenye umri wa miaka 32 aliachiliwa na The Toffees msimu wa joto na alikubali kuhamia
2 days ago
NA RICHARD MUNGUTI MSHUKIWA mkuu katika mauaji ya kinyama ya aliyekuwa kaimu mkurugenzi wa fedha Nairobi Hospital Eric Maigo amefikishwa kortini. Msichana huyo tineja alifikishwa mbele ya hakimu mwandamizi katika Mahakama ya Milimani Zainab Abdul aliyeamuru azuiliwe kwa siku 21 kuhojiwa na kuchunguzwa. Maigo alikufa baada ya kudungwa kisu mara 25 kifuani. Tineja aliyekamatwa Septemba
2 days ago
Most business and individuals engaged in business activities are familiar with the concept of financing.
2 days ago
By Our Correspondent During the first day of the forum that was championed by the Namtumbo District Commissioner Hon. Ngollo Ng’waniduhu Malenya as a guest of honour, Hon. Ngollo stated that the forum is a beacon of hope and potential for the district, aims to showcase the untapped potential of the Namtumbo District which also
2 days ago
Na JOSEPH NDUNDA MWANAMKE mwenye umri wa miaka 71 aliyekamatwa akiuza chang’aa, bangi na tembe zinazoshukiwa kuwa mihadarati nyumbani kwake Kasarani, Nairobi, amekiri mashtaka ya ulanguzi wa dawa za kulevya. Bi Susan Wanjiru Kamau alipatikana na lita 50 cha chang’aa, misokoto 40 ya bangi na tembe zinazoshukiwa kuwa mihadarati katika nyumba yake katika kijiji cha
2 days ago
Ukraine itazingatia muda wa ukimya kuwakumbuka wanajeshi siku ya Jumapili – ambayo ni Siku ya Watetezi wa Ukraine na ni sherehe ya kwanza ya likizo ya kitaifa katika tarehe yake mpya, 1 Oktoba. Wakati wa kutafakari utaanza saa 9 asubuhi na utazingatiwa katika viwanja vya kati na mitaa katika miji ya Ukrain. “Inatokea kwamba ukimya unaweza
2 days ago
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alionya Jumanne dhidi ya mbio mpya za silaha za atomiki zinazoleta tishio la “maangamizi” kwa ulimwengu, kama Korea Kaskazini ikishtumu kwamba peninsula yake iko kwenye ukingo wa vita vya nyuklia. Huku mataifa yenye silaha za nyuklia yakipanua na kuboresha silaha zao za kisasa, mkuu huyo wa Umoja
2 days ago
Maelfu ya watu wameandamana hivi punde katika mitaa ya Ouagadougou usiku wa Jumanne kuamkia Jumatano ili kuzuia uwezekano wa mapinduzi ya kijeshi nchini humo, vyanzo kadhaa vimesemaleo Jumatano Kulikuwa na maelfu ya waandamanaji wanaodai kuwa wanaharakati na wafuasi wa utawala wa kijeshi. Walipiga kambi kwenye barabara kuu ya mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou. Maandamano
2 days ago