Members of the Zanzibar House of Representatives have expressed concern over a government payroll system that has led to the underpayment of public servants.
Members of the Zanzibar House of Representatives have expressed concern over a government payroll system that has led to the underpayment of public servants.
Tanzanian motorists and businesses will experience a welcome relief at the pump in May after the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) announced a notable drop in fuel prices across the country, effective from Wednesday, May 7, 2025.
KINARA wa chama cha ODM, Raila Odinga amejipata kona mbaya kufuatia kauli yake ya kutaka Hazina ya Kitaifa ya Maendeleo ya Maeneobunge (NG-CDF) ihamishwe kwa serikali za kaunti.
Wabunge na...
KAULI ya Rais William Ruto kwamba alikutana na marehemu aliyekuwa Kamishna wa Mkoa wa Nyanza, Isaiah Kiplangat Cheluget kujadili uuzaji wa ardhi, imezua mshangao.
Akizungumza katika eneo la Sogoo, Narok,...
MOSHI mweupe ulitoka kwenye paa la Kanisa la Sistine Chapel Vatican jijini Roma Alhamisi jioni kutangaza kuchaguliwa kwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki lililo na wafuasi zaidi ya 1.4 bilioni...
MOSHI mweupe ulitoka kwenye paa la Kanisa Sistine Chapel jijini Vatican, Roma jana jioni kutangaza kuchaguliwa kwa kiongozi mpya wa Wakatoliki 1.4 bilioniduniani.
Papa alichaguliwa kumrithi Papa Francis aliyefariki dunia...
RAIS William Ruto amemteua Erastus Edung Ethekon kuwa mwenyekiti mpya wa IEBC, katika tangazo la hivi punde zaidi.
Rais pia ameamua kwamba Msajili wa Vyama vya Kisiasa Ann Nderitu, Moses...
SIMBA imeendeleza kugawa dozi katika Ligi Kuu Bara baada ya jana kuifumua Pamba Jiji kwa mabao 5-1 na kukata tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, huku ikiziachia...
RASMI Simba SC ina tiketi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao 2025-2026, hiyo ni baada ya kufikisha pointi 66 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ambazo...
KENGOLD iliyoshuka mapema hadi Championship kutoka Ligi Kuu Bara iliyoicheza kwa mara ya kwanza msimu huu, imepanga kuipeleka mechi dhidi ya Simba iliyopangwa kupigwa Juni 18 Uwanja wa Majimaji, Songea,...
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Maabad Maulid Maabad amesema kwa msimu huu mshambuliaji Clement Mzize ndiye mzawa aliyemvutia zaidi kutokana na kiwango alichoonyesha kuisaidia Yanga.
BAADA ya kucheza mechi mbili dhidi ya Simba na Yanga, beki wa JKT Tanzania, Karim Bakiri amesema timu hizo kongwe zina nyota wengi bora ambao wanaufanya mpira kuwa mwepesi wakikutana...