NA WANDERI KAMAU BAADA ya kuwa kwenye tasnia ya burudani kwa miongo miwili, mwanamuziki Alikiba kutoka Tanzania ameamua kufuata nyayo za msanii mwenzake, Diamond Platnumz, kwa kufungua kituo cha redio na televisheni kwa wakati mmoja. Kwa muda mrefu, Diamond ndiye amekuwa akitkisa tasnia ya burudani nchini humo, baada ya kuzindua kituo cha redio na televisheni […]