NA WANDERI KAMAU JINA la mwanamuziki Muigai wa Njoroge si jipya miongoni mwa Wakenya, hasa wakazi wa ukanda wa Mlima Kenya. Ni msanii ambaye amekuwa kwenye tasnia ya muziki wa Injili kwa karibu miongo miwili sasa. Ijapokuwa mwanamuziki huyo anafahamika kutokana na uimbaji wa nyimbo za Injili, pia amejijengea jina kutokana na na utunzi na […]