NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI wa Injili William Getumbe anatarajiwa kufikishwa mahakamani Ijumaa baada ya kujipata matatani kwa kuimba wimbo ambao inadaiwa ulichafua hewa. Mwanamuziki huyo ambaye alimulikwa na Bodi ya Uainishaji Filamu Nchini (KFCB) alikamatwa Jumatatu, lakini akaachiliwa kwa bondi ya polisi ya Sh10,000. Alikuwa amenyakwa na maafisa wa kituo cha polisi cha Kapsoya kwa kukaidi […]