NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI wa Injili Christopher Nyangwara Mosioma almaarufu ‘Embarambamba’ amesema anaacha kuvalia mavazi ya kike katika video zake. Alichukua hatua hiyo baada ya kukutana na viongozi kutoka eneo la Kisii walioahidi kumpa sapoti kukabiliana na maagizo mazito kutoka kwa Bodi ya Uainishaji wa Filamu Nchini (KFCB). Kwenye mahojiano ya kipekee na Taifa Leo mnamo Ijumaa, […]