NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI Zuhura Othman Soud almaarufu Zuchu alilazimika kuomba radhi baada ya mamlaka kusitisha shughuli zake zote za kisanii kwao visiwani Zanzibar kwa muda wa miezi sita kutokana na onyesho walilolitaja kuwa lisilofaa kimaadili. Onyesho hilo lilifanyika Februari 24, 2024, katika kisiwa cha Kendwa,  Zanzibar. Inadaiwa alitumia lugha isiyostahili na kwa wakati fulani alifanya […]