NA WANDERI KAMAU KATIKA miaka ya 2000, Kenya ilisifika pakubwa kutokana na muziki wake wa kizazi kipya wakati huo, uliojulikana kama ‘Kapuka’. Hiyo ndio ilikuwa sauti iliyoipa Kenya utambulisho maalum katika eneo la Afrika Mashariki, Afrika na duniani kote. Kabla ya Kenya kukumbatia sauti hiyo, Wakenya wengi walikuwa wamezamia kwenye miziki aina ya Lingala kutoka Jamhuri ya […]