NA SINDA MATIKO MPANGO wa mamake Diamond kumwoza mke mwanawe huyo staa wa muziki umetibuka. Esna Khan, dadake staa wa Bongo Flava Diamond Platnumz, amefichua tukio la jinsi mama yao, Sandra, alivyomfosi nyota huyo kuoa. Esma amekiri kuwa suala la kutaka kumwona kaka yake akifunga ndoa limekuwa ndio matamanio ya familia yao kwa siku nyingi […]