NA JURGEN NAMBEKA MCHEKESHAJI mwenye sifa na ufuasi mkubwa mtandaoni, Dkt Cassypool, amewarai vijana kutoka ukanda wa Pwani na Kenya kwa ujumla kuchangamka na kutumia fursa zilizoko katika sekta mbalimbali kujiendeleza maishani. Dkt Cassypool ambaye jina lake halisi ni Kevin Odhiambo Onyango, alisema vijana wanafaa kujituma na kujitajirisha kupitia sekta ambazo awali zilidhaniwa kuwa za […]