NA BENSON MATHEKA MWANAMUZIKI Lamaz Mbago Omollo almaarufu Span One amesema lengo lake katika tasnia ya muziki ni kuondoa fikra na dhana kwamba burudani ni uhuni. Ni miaka saba sasa tangu msanii Span One ajitose rasmi katika bahari ya muziki. Yeye ni mtaalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Na licha ya kufumua vibao vingi na jina […]