NA WANDERI KAMAU MWANAMUZIKI Millicent Jerotich almaarufu ‘Marakwet Daughter’ amedai kwamba kuna kundi linalotaka kuchukua hakimiliki ya wimbo wake maarufu ‘Mali Safi Chito’. Mwanamuziki huyo alisema kundi hilo limekuwa likizima sauti za wimbo huo kwa kwenye video za watu wanaotumia katika mtandao wa Tiktok. Kwenye mahojiano ya kipekee na Taifa Leo mnamo Alhamisi Machi 7, […]