Habari Leo News

Waziri Mkuu: Serikali inaithamini sekta binafsi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazofanya kazi kwa karibu sana na sekta binafsi ili kukuza uchumi na kuleta maendeleo kwa wananchi wake. Ametoa kauli hiyo...

29 minutes ago


Taifa Leo News

MAONI: Upinzani unavyoweza kuepuka kuvurugwa na Ruto kabla ya uchaguzi wa 2027

KATIKA siasa za Kenya, kugawanyika kwa upinzani si jambo geni, hasa ikizingatiwa uwezo wa rais aliye madarakani kutumia mbinu mbalimbali kupunguza ushindani uchaguzini. Rais William Ruto, ambaye ameonyesha ustadi mkubwa...

1 hour ago


Habari Leo News

Serikali yawezesha wabanguaji korosho kujiimarisha kiuchumi

SERIKALI inaendelea kuwainua wabanguaji wadogo wa zao la korosho nchini katika mazingira mbalimbali. Mazingira hayo ni pamoja na suala la masoko, uwekezaji wa viwanda na mengine ili kuongeza thamani ya...

2 hours ago


Taifa Leo News

Mudavadi aitisha pesa zaidi kutetea kortini Wakenya walio jela mataifa ya kigeni

MKUU wa Mawaziri Musalia Mudavadi amewaomba wabunge watenge pesa zaidi kwa Wizara ya Kigeni ili serikali iweze kukodi huduma za mawakili kwa Wakenya wanaozuiliwa katika mataifa ya ng’ambo. Hayo yanajiri...

3 hours ago


Habari Leo News

Maambukizi ya maralia yapungua asilimia 6.7

RUVUMA: TAFITI za viashiria vya malaria nchini zinaonesha ugonjwa huo umepungua kutoka asilimia 14.8 mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 8.1 mwaka 2022. Upungufu huo ni hatua kubwa zilizofanywa na serikali...

3 hours ago


Habari Leo News

‘Uchumi Tanzania unainuka kwa kasi kupitia Muungano’

“NAOMBA niwe mkweli, Zanzibar tuna madaktari 134 na kati yao, madaktari bingwa ni wanne tu. Hali hii inalazimu wagonjwa wetu kusafiri kwenda Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Hospitali...

3 hours ago


Taifa Leo News

Wabunge wafungiwa afisi, vyoo KICC kutokana na malimbikizi ya kodi

WABUNGE Jumatatu walifungiwa nje ya afisi zao katika Jumba la Kimataifa la Mikutano la KICC kutokana na malimbikizi ya kodi ambayo sasa ni Sh50 milioni. Pia walioathirika kutokana na utata...

4 hours ago


Habari Leo News

RC amtaja Msuya kwa unyenyekevu, uchapakazi

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema taifa litamkumbuka Cleopa Msuya kwa unyenyekevu, uchapakazi na hakuwa na majivuno. Babu alisema hayo wilayani Mwanga jana wakati akitoa salamu za mkoa...

5 hours ago


Taifa Leo News

Naibu Gavana Homa Bay alilia usalama siku 11 baada ya Ong’ondo Were kuuawa

JARIBIO la kumuua Naibu Gavana wa Homa Bay Oyugi Magwanga lilitekelezwa Jumapili usiku. Hii ni baada ya watu wasiojulikana na ambao walikuwa na bunduki kusemekana kujaribu kumpiga risasi Bw Magwanga...

5 hours ago


Habari Leo News

Askofu: Shikeni mambo makuu 4 ya Msuya

ASKOFU mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanga, Daniel Mono amewataka wananchi wa Wilaya ya Mwanga kuyashika na kuyaenzi mambo makuu manne aliyoyaacha Cleopa Msuya....

5 hours ago


Load More...

Job Vacancies





Entertainment