Members of the Zanzibar House of Representatives have expressed concern over a government payroll system that has led to the underpayment of public servants.
Members of the Zanzibar House of Representatives have expressed concern over a government payroll system that has led to the underpayment of public servants.
Tanzanian motorists and businesses will experience a welcome relief at the pump in May after the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) announced a notable drop in fuel prices across the country, effective from Wednesday, May 7, 2025.
HATUA ya kuwapa machifu maafisa wa polisi imeibua kumbukumbu ya mamlaka makubwa waliyokuwa nayo enzi ya utawala wa chama kimoja cha KANU, ambapo walitumiwa na serikali kunyanyasa raia.
Machifu na...
ZANZIBAR: MKE wa Rais wa Zanzibar, Mariam Mwinyi amesema taifa linahitaji watu wenye afya bora ili kuwa mustakabali mzuri wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Mama Mariam ambaye pia ni...
AMANI iwe nanyi! Ndugu wapendwa, hii ndio ilikuwa salamu ya kwanza ya Kristo aliyefufuka, mchungaji mwema aliyeutoa uhai wake kwa watu Mungu. Mimi pia ningependa salamu hii ya amani iingie...
SENETA wa Kaunti ya Nairobi, Edwin Sifuna, amesema kuwa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kina nia ya kumfanya Dkt Wiliam Ruto rais wa muhula mmoja.
Bw Sifuna, ambaye ni...
SERIKALI za Tanzania na Msumbiji zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika biashara na uwekezaji. Rais Samia Suluhu Hassan alisema hayo Ikulu, Dar es Salaam wakati wa mkutano na waandishi wa habari baada...
Watu 12 akiwemo mwanafunzi wa shule,walifariki dunia kufuatia ajali iliyohusisha matatu ya abiria na lori katika eneo la Arimi, kwenye barabara ya Njoro-Elburgon, Kaunti ya Nakuru.
Ajali hiyo ilitokea mwendo...
KINARA wa chama cha ODM, Raila Odinga amejipata kona mbaya kufuatia kauli yake ya kutaka Hazina ya Kitaifa ya Maendeleo ya Maeneobunge (NG-CDF) ihamishwe kwa serikali za kaunti.
Wabunge na...
KAULI ya Rais William Ruto kwamba alikutana na marehemu aliyekuwa Kamishna wa Mkoa wa Nyanza, Isaiah Kiplangat Cheluget kujadili uuzaji wa ardhi, imezua mshangao.
Akizungumza katika eneo la Sogoo, Narok,...
MOSHI mweupe ulitoka kwenye paa la Kanisa la Sistine Chapel Vatican jijini Roma Alhamisi jioni kutangaza kuchaguliwa kwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki lililo na wafuasi zaidi ya 1.4 bilioni...
MOSHI mweupe ulitoka kwenye paa la Kanisa Sistine Chapel jijini Vatican, Roma jana jioni kutangaza kuchaguliwa kwa kiongozi mpya wa Wakatoliki 1.4 bilioniduniani.
Papa alichaguliwa kumrithi Papa Francis aliyefariki dunia...