Taifa Leo News

Machifu wapewa polisi; watakuwa na mamlaka kama wakati wa Kanu

HATUA ya kuwapa machifu maafisa wa polisi imeibua kumbukumbu ya mamlaka makubwa waliyokuwa nayo enzi ya utawala wa chama kimoja cha KANU, ambapo walitumiwa na serikali kunyanyasa raia. Machifu na...

1 hour ago



Taifa Leo News

“Amani iwe nanyi nyote,” maneno ya kwanza ya Papa Leo XIV

AMANI iwe nanyi! Ndugu wapendwa, hii ndio ilikuwa salamu ya kwanza ya Kristo aliyefufuka, mchungaji mwema aliyeutoa uhai wake kwa watu Mungu. Mimi pia ningependa salamu hii ya amani iingie...

2 hours ago


Taifa Leo News

Tutamfanya Ruto rais wa muhula mmoja, asema katibu wa ODM

SENETA wa Kaunti ya Nairobi, Edwin Sifuna, amesema kuwa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kina nia ya kumfanya Dkt Wiliam Ruto rais wa muhula mmoja. Bw Sifuna, ambaye ni...

2 hours ago


Taifa Leo News

Watu 12 wafariki kwenye ajali ya barabarani Nakuru

Watu 12 akiwemo mwanafunzi wa shule,walifariki dunia kufuatia ajali iliyohusisha matatu ya abiria na lori katika eneo la Arimi, kwenye barabara ya Njoro-Elburgon, Kaunti ya Nakuru. Ajali hiyo ilitokea mwendo...

3 hours ago


Taifa Leo Sports

Mtakomaa! Bodi ya Arsenal yakataa ombi la kutimua Arteta baada ya msimu mwingine tasa

BODI ya Arsenal haiko tayari kuachilia kocha Mikel Arteta licha ya mashabiki kusikitika kumaliza msimu mwingine bila taji. Kuna sehemu ya mashabiki walio na imani kuwa Arsenal inaweza kufanya vizuri...

3 hours ago


Taifa Leo News

Raila pabaya wabunge, raia wakimponda kwa msimamo wake kuhusu hela za CDF

KINARA wa chama cha ODM, Raila Odinga amejipata kona mbaya kufuatia kauli yake ya kutaka Hazina ya Kitaifa ya Maendeleo ya Maeneobunge (NG-CDF) ihamishwe kwa serikali za kaunti. Wabunge na...

4 hours ago


Taifa Leo News

Ruto ashangaza Wakenya ‘kukutana na marehemu’ Cheluget kujadili ardhi inayozozaniwa

KAULI ya Rais William Ruto kwamba alikutana na marehemu aliyekuwa Kamishna wa Mkoa wa Nyanza, Isaiah Kiplangat Cheluget kujadili uuzaji wa ardhi, imezua mshangao. Akizungumza katika eneo la Sogoo, Narok,...

5 hours ago


Taifa Leo News

Papa Leo XIV alikuwa ametajwatajwa kuchukua ‘uongozi wa mapema’ uchaguzini

MOSHI mweupe ulitoka kwenye paa la Kanisa la Sistine Chapel Vatican jijini Roma Alhamisi jioni kutangaza kuchaguliwa kwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki lililo na wafuasi zaidi ya 1.4 bilioni...

6 hours ago


Taifa Leo News

Papa mpya kujitokeza hadharani wakati wowote sasa

MOSHI mweupe ulitoka kwenye paa la Kanisa Sistine Chapel jijini Vatican, Roma jana jioni kutangaza kuchaguliwa kwa kiongozi mpya wa Wakatoliki 1.4 bilioniduniani. Papa alichaguliwa kumrithi Papa Francis aliyefariki dunia...

16 hours ago


Load More...

Job Vacancies





Entertainment