
Waziri Chana ahudhuria hafla ya uzinduzi wa ASAS za Kichina Mufindi
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mhe. Pindi Chana amehudhuria hafla ya uzinduzi wa Asasi ya kichina iliyofanyika Mjini Mafinga Wilayani Mufindi akiwa Mgeni rasmi. Akizungumza wakati wa hafla hiyo Waziri Chana amesema “Mnafanya jambo jema kuwekeza kupitia Viwanda katika maeneo mengi hapa Nchini, Tanzania na China Tumeendelea kuwa na mahusiano mazuri kwa muda mrefu yaliyoanzishwa […] The post Waziri Chana ahudhuria hafla ya uzinduzi wa ASAS za Kichina Mufindi first appeared on Millard Ayo.











































