Rais Samia ashiriki mkutano wa 11 wa Merck

Habari Leo
Published: Oct 29, 2024 10:19:54 EAT   |  Travel

Rais Dk Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam leo Oktoba 29. Mkutano huo unahudhuriwa na watu kutoka nchi mbalimbali, ambapo miongoni mwao ni Wenza wa Wakuu wa Nchi 15 za Afrika …

The post Rais Samia ashiriki mkutano wa 11 wa Merck first appeared on HabariLeo.

Rais Dk Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam leo Oktoba 29.

Mkutano huo unahudhuriwa na watu kutoka nchi mbalimbali, ambapo miongoni mwao ni Wenza wa Wakuu wa Nchi 15 za Afrika na Asia, Watunga Sera, Wanataaluma, Watafiti na Wanahabari wa masuala ya Afya kutoka nchi mbalimbali duniani.

The post Rais Samia ashiriki mkutano wa 11 wa Merck first appeared on HabariLeo.