
Waziri wa maliasili na utalii asisitiza uwepo wa ufuatiliaji na tathmini ya kielektroniki.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ametoa wito kwa nchi wanachama wa Mkakati wa Kuong’oa Ardhi na Misitu iliyoharibiwa takribani Hekta milioni 100 Barani Afrika (African Forest Restoration Initiatives – AFR100), kuweka mifumo ya ufuatiliaji na tathmini ya kielektroniki kuhakikisha lengo la kuong’oa misitu hiyo linafikiwa kwa kuona uhalisia wa utekelezaji wa […] The post Waziri wa maliasili na utalii asisitiza uwepo wa ufuatiliaji na tathmini ya kielektroniki. first appeared on Millard Ayo.













































