NA JURGEN NAMBEKA GAVANA wa Mombasa Abdulswamad Nassir, amefanya mabadiliko katika uongozi wa kaunti hiyo akieleza kuwa mabadiliko hayo yalilenga kuboresha utoaji wa huduma kwa wakazi wa Mombasa. Mojawapo ya mabadiliko ya Gavana Nassir ni kuhusu usimamizi wa fuo za Mombasa ambazo kwa sasa zitakuwa chini ya Idara ya Maji, Mabadiliko ya Tabianchi na Maliasili. […]