NA JESSE CHENGE HOTELI na maeneo ya burudani katika Kaunti ya Bungoma zimeanza kujaa huku wageni kutoka sehemu mbalimbali za nchi wakiwasili kwa Maonyesho ya Kilimo katika Chuo Kikuu cha Kibabii kilichoko eneo la Kanduyi, Kaunti ya Bungoma. Matarajio ni makubwa huku kaunti hiyo ikijiandaa kwa Maadhimisho ya Madaraka Dei mnamo Juni 1, 2024. “Kaunti […]