“Aaah…. Dunia. Bado ni kiza, bado ni kiza na marashi ya dunia siyaskii, Najihisi nipo kuzimu naishangaa sayari hii, iliyojaa wanasiasa, michezo na wasanii, Najiuliza wamekuja huku kutalii au wameshajamia dunia ndo haijirudii…” “Yee iye ite eeh. Dunia mapito jamaa tuwaombeeni waliokufa waende salama, Mi nawe tupo hatujui siku yetu lini, kinachotakiwa tuishi kwa amani […]