NA OSCAR KAKAI KWA miongo mingi, eneo la Turkwel kwenye mpaka wa kaunti za Pokot Magharibi na Turkana, limekuwa likigonga vichwa vya vyombo vya habari kama kitovu cha wizi wa mifugo. Ziwa Turkwel sasa limejizoea sifa si haba kama kivutio cha utalii eneo nzima la Bonde la Ufa. Ziwani Turkwel kuna vivutio mbalimbali wakiwemo mamba, viboko, na […]