NA TOBIAS MESO UAMUZI wa serikali ya Kaunti ya Narok wa kupiga marufuku magari ya kibinafsi kuingia katika Mbuga ya Kitaifa ya Maasai Mara umezua kero miongoni mwa watalii ambao huzuru mbuga hiyo kila mara. Kwenye taarifa aliyotoa Juni 3, 2024 , msimamizi wa mbuga hiyo Alex Nabaala alisema ni magari machache tu yataruhusiwa kuingia […]