NA JESSE CHENGE UVAMIZI wa mbung’o na kusambaa kwa ugonjwa wa malale katika sehemu nyingi nchini sasa unatishia sekta ya utalii, mkurugenzi wa Baraza la Kitaifa la Kukabiliana na Mbung’o na maradhi ya Malale na Nagana (KENTTEC) Isaiah Kiteto amefichua. Bw Kiteto akifichua hayo akiwa katika Kaunti ya Bungoma mnamo Jumanne wakati wa ufunguzi wa […]