NA KALUME KAZUNGU HOTELI inayosifika sana Mpeketoni na iliyokuwa imejenga jina ya Breeze View ni yenye kupambwa au kurembeshwa hadi kupendeza kabisa kwa macho. Hoteli hiyo iko pembezoni mwa mji huo wa Mpeketoni ulioko Kaunti ya Lamu. Ni miongoni mwa hoteli za hadhi ya juu zinazotambulika, siyo Mpeketoni tu bali kote Lamu. Mnamo usiku wa […]