NA SIAGO CECE MBWEMBWE za tafrija usiku zimeanza kurejea Diani polepole baada ya taa za barabarani kuwekwa katika mji huo wa Kaunti ya Kwale. Kwa zaidi ya miaka mitano, wakazi na watalii wamekuwa wakiendesha shughuli zao kwa hofu usiku kwa sababu ya changamoto za kiusalama. Hali hii ilisababishwa na kukosekana kwa taa za barabarani kwenye […]