NA CAROLINE WAFULA TAIFA LEO sasa imebaini kwamba helikopta ya KDF iliyohusika kwenye mkasa iliondoka katika Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Cheptulel, Pokot Magharibi ambako kikosi cha jeshi kinakarabati...
Wanafunzi wanaosoma vitivo vya sayansi na utafiti wametakiwa kutumia utafiti na ubunifu katika kufanya uzalishaji bora wa bidhaa ambazo zitasaidia kutangaza taifa kwenye masoko kimataifa . Akizungumza katika ufunguzi wa...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imedhamiria kutoa elimu ya fedha kuanzia ngazi ya elimu msingi hadi vyuo vikuu kuwawezesha vijana kuwa na uwezo wa nidhamu ya...
Dereva Luqman Hemed Juma Mkazi wa kata ya Sinoni Mkoani Arusha aliyekuwa akiendesha Basi la Shule ya Ghati Memorial ( Toyota Hiace) lililopata ajali na kuua Wanafunzi nane April 12...
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Daniel Machunda amewaomba wadau wote kuendeleza ushirikiano na Baraza la Ushindani ( FCT) katika kuongeza uzoefu, ufanisi katika majukumu mbalimbali. Hayo ameyasema wakati...
Mgogoro wa mwaka mzima sasa baina ya majenerali wa kijeshi wanaoongoza Jeshi la Sudan (SAF) na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) umepelekea kuvurugika mfumo wa elimu na kufutika nafasi...
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma amewasisitiza wanafunzi wanaohitimu masomo ya Sheria nchini kuwa na utamaduni wa kujisomea kwani kwasasa dunia inapitia mabadiliko makubwa ya matumizi...
NA LABAAN SHABAAN MAKAMU Chansela (VC) wa Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU), Prof Paul Wainaina ameelekea likizo ya muda usiojulikana. Naibu Makamu Chansela wa Masuala ya Elimu, Prof Waceke Wanjohi...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu uweke mwongozo unaohitaji uwasilishaji wa NIDA kuwa...
NA COLLINS OMULO SERIKALI itaajiri walimu 20,000 zaidi katika mwaka wa kifedha ujao kwa gharama ya Sh4 bilioni kupunguza kero ya uhaba wa walimu hususan katika Shule za Upili za...