Zanzibar recorded a notable rise in international arrivals in April 2025, welcoming 37,137 visitors, a 28.1 percent increase compared to the same month in 2024
I’m at Forest Bar, enjoying my routine intake of the frothy liquid. Music volume is unusually low, which is why it’s possible for patrons to listen to one another.
Telecommunications company Yas, together with its digital financial service Mixx by Yas, has reaffirmed its commitment to promoting digital inclusion in Tanzania
Katika ulimwengu wa sasa ambao tekinolojia inaendelea kukua kwa kasi, watoto wengi wamezama katika vifaa vya kielektroniki kama simu, michezo ya video, na televisheni.
Ingawa teknolojia ina faida zake katika...
SINGIDA: MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Suleiman Mwenda ametoa wiki mbili kwa wajenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali Kitukutu kumaliza maeneo yote ambayo hayajakamilika. Shule hiyo inayojengwa...
KUPUNGUZA uzani si jambo rahisi kwa wengi hasa kwa sababu mara nyingi huhusisha kufanya mazoezi.
Kwa hivyo, kuna baadhi ya watu ambao wamelazimika kutumia njia za mkato ili kupunguza uzani,...
KATIKA moja ya kauli zake Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere amewahi kunukuliwa akisema, “Uandishi wa habari ni nyenzo muhimu katika kujenga taifa lenye umoja na maendeleo, vyombo vya habari...
KAUNTI ya Turkana sasa imechukua nafasi ya kwanza kama kaunti yenye mzigo mkubwa zaidi wa malaria nchini Kenya, kulingana na takwimu mpya kutoka kwa Mpango wa Kitaifa wa Kudhibiti Malaria....
MASOMO katika shule 2,400 za chekechea katika kaunti ya Nakuru hayatalipiwa ikiwa Gavana Susan Kihika atatekeleza pendekezo la hoja iliyopitishwa na bunge la kaunti ya Nakuru.
Hoja hiyo iliyodhaminiwa na...
SHULE zinafunguliwa wiki hii kwa muhula wa pili, huku walimu wakuu wakitoa wito kwa serikali kutoa fedha bila kuchelewa ili kuepuka misukosuko inayoshuhudiwa mara kwa mara wakati wa muhula huu...
NDOTO ya Michelle Omondi ya kumaliza masomo yake upili katika Shule ya Wasichana ya Pangani nusura ikatizwe kutokana na ukosefu wa karo.
Michelle, 15 anatoka familia maskini lakini sasa anaweza...
DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema inaunga mkono bunifu mbalimbali za afya zinazofanyika Chuo Kikuu na Sanyansi Shirikishi (Muhas)…
The post Bunifu Muhas majawabu changamoto za afya appeared first on HabariLeo.
WENYEVITI wa vijiji vya Mtukula, Byeju, Nkerenge vilivyopo Kata Mtukula, Wilaya ya Missenyi wameishukuru serikali kwa kuona elimu…
The post Wenyeviti wa vijiji waomba msaada wa kisheria endelevu appeared first...