Habari Leo Educational

‘Mvua ikinyesha kubwa usiruhusu mtoto aende shule’

DAR ES SALAAM; WAZIRI  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amewataka wazazi na walezi wasiwaruhusu watoto kwenda shule mvua ikiwa inanyesha kubwa. Akizungumza leo Aprili 24, 2024, Prof....

6 hours ago


Milard Ayo Educational

Ugawaji taulo za kike watajwa kutokomeza utoro shuleni

BAADHI ya wanafunzi na walimu wa shule za sekondari mkoani Geita wamesema zoezi la ugawaji wa taulo za kike kwa ajili ya kuwasitiri wanafunzi wa kike kipindi cha hedhi, limechangia...

7 hours ago


Habari Leo Educational

‘Elimu ya kodi imenisaidia kutambua vishoka TRA’

MFANYABIASHARA wa madini katika machimbo ya Matabi, Wilaya ya Chato mkoani Geita, Marik Ngutti amesema elimu ya kodi imemsaidia kuwatambua vishoka wanaojitambulisha kuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)....

7 hours ago


Taifa Leo Educational

Wanafunzi KU waunda mapipa ya taka kwa ‘chupa kero’

NA LABAAN SHABAAN CHUPA za plastiki zilizotumiwa si lazima zitupwe kwenye jaa la taka sababu huko si makao yao. Hilo halifanyiki katika Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU) ambapo wanafunzi wanaongeza...

16 hours ago


Mtanzania Educational

Hakielimu yatoa rai Serikalini kuhusu bajeti ya elimu 2024/2025

Na Esther Mnyika Mtanzania Digital Taasisi ya Hakielimu nchini imetoa rai kwa Serikali kutenga bajeti ya kutosha 2024/2025 katika sekta ya elimu ili kuwezesha kushabihisha bajeti hiyo na malengo ya...

1 day ago


Milard Ayo Educational

Msisitizo watolewa mashuleni kwa wanafunzi na wazazi

Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wamesisitizwa kuwa na nidhamu shuleni, kuzingatia masomo ili waweze kufanya vizuri kitaluma,kufaulu na kutimiza ndoto zao. Msisitizo huo umetolewa na Katibu Mkuu Mstaafu...

1 day ago


Milard Ayo Educational

Wapotoshaji taarifa juu ya chanjo ya saratani ya mlango wa shingo ya kizazi kukiona

Mkoa wa Shingaya waanza rasmi utoaji chanjo ya saratani ya mlango wa shingo ya kizazi (HPV), kwa watoto wa kike, huku serikali ikionya kuwa yeyote atakayebainika kupotosha kuhusu chanjo hiyo,...

2 days ago


Taifa Leo Educational

Afueni yaja Machogu akizitaka shule kupunguza karo

NA WINNIE ATIENO KARIBU wiki moja kabla ya shule kufunguliwa kwa muhula wa pili, serikali sasa inataka wamiliki wa taasisi za elimu za kibinafsi kupunguza karo za shule. Waziri wa...

2 days ago


Taifa Leo Educational

Mhadhiri afichua jinsi Kiswahili kinavyomvunia noti nchini Amerika

NA PETER CHANGTOEK PROFESA David Kyeu ni mwandishi aliyebobea katika Kiswahili na Kiingereza, lugha ambazo zina umuhimu mkubwa katika fani za elimu na mawasiliano kwa ujumla. Aidha, yeye ni mtafiti,...

2 days ago


Taifa Leo Educational

Msiba wa mwana wamleta hadharani ‘mpoa’ wa KarehB

NA MWANGI MUIRURI AJALI ya barabarani iliyosababisha kifo cha Joseph Mwadulo, ambaye alikuwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika shule ya upili ya Chavakali, ilimleta hadharani babake mzazi Bw Morrison...

2 days ago


Load More...

Trending on YouTube

Thumbnail
Lava Lava x Diamond Platnumz - Kibango (Official Audio)
Thumbnail
Harmonize - Na Nusu (Official Lyrics Video)
Thumbnail
Marioo - Hakuna Matata (Visualiser)
Thumbnail
Darassa feat Zuchu - Romeo (Visualiser)
Thumbnail
Bella Kombo ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir - Mungu Ni Mmoja (Official Video)
Thumbnail
Rayvanny - Hongera (Music Audio)
Thumbnail
Dulla Makabila - Furahi ( OFICIAL VIDEO)
Thumbnail
TitoM & Yuppe - Tshwala Bam [Ft. S.N.E & EeQue] (Official Music Video)
Thumbnail
Mocco Genius feat Alikiba - Mchuchu (Official Audio)
Thumbnail
D Voice - Zoba (Official Lyric Audio)

Job Vacancies





Entertainment