Taifa Leo News

Gachagua aiga Ruto akijivumisha kitaifa

ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua anaonekana kutumia mkakati sawa na ule Rais William Ruto alitumia kumkabili Rais Uhuru Kenyatta kabla ya uchaguzi mkuu wa 2022. Gachagua anapanga kutangaza chama cha...

48 minutes ago


Habari Leo News

Matukio mbalimbali kuaga mwili wa Cleopa Msuya

DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali katika picha wakati wa ibada ya kuaga mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu  mstaafu, Cleopa Msuya, leo Mei 11, 2025 katika...

1 hour ago




Taifa Leo News

Kinaya Raila ‘akibariki’ washirika wake waponde serikali

HATUA ya Kiongozi wa ODM, Raila Odinga, kumshauri Katibu Mkuu Edwin Sifuna kupunguza mashambulizi yake dhidi ya Serikali Jumuishi huku akisisitiza seneta huyo wa Nairobi anawakilisha msimamo wa chama yanaibua...

1 hour ago


Mwanaspoti Sports

New King yavunja mwiko na kupanda ZPL 

New King yenye historia ya kuishia katika hatua ya pili ya mtoano wa daraja la kwanza imefanikiwa kuvunja ukuta huo leo jioni na rasmi kucheza ZPL msimu ujao.

2 hours ago


Taifa Leo News

Sera za Ruto tamu kwa maneno lakini chungu kwa raia

KATIKA kipindi cha karibu miaka mitatu ya uongozi wa Rais William Ruto, Wakenya wameshuhudia mabadiliko mengi ya sera za kiuchumi na kijamii ambazo serikali imekuwa ikitangaza kwa mbwembwe kama njia...

2 hours ago


Taifa Leo News

Mfumo wa kisheria wa kusimamia mikataba ya kabla ya mdoa Kenya

Kifungu cha 40(1) cha Katiba ya Kenya ya 2010 kinabainisha kuwa kila mtu ana haki ya kumiliki mali peke yake au kwa ushirikiano katika sehemu yoyote ya Kenya. Kifungu cha...

3 hours ago


Taifa Leo News

IEBC: Kalonzo alivyoachwa kwenye mataa

KIONGOZI wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, anaonekana kuhusisha kiongozi wa ODM katika hatua ya Rais William Ruto ya kuteua mwenyekiti na Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka...

4 hours ago


Taifa Leo General

Mwanadada hapendi mistari bila vitendo

KUPENDA mwanamke si maneno tu, bali ni vitendo vinavyodhihirisha kile anachoambiwa na mwanamume. Na mwanamke anathamini kuheshimiwa kwa vitendo. Anapokutana na mwanaume mgeni anayemuita kwa majina ya kimahaba kama 'mpenzi',...

5 hours ago


Load More...

Job Vacancies





Entertainment