Matukio mbalimbali kuaga mwili wa Cleopa Msuya

DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali katika picha wakati wa ibada ya kuaga mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya, leo Mei 11, 2025 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Hayati Msuya aliyezaliwa mwaka 1931, alifariki dunia Mei 7 katika Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa …
DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali katika picha wakati wa ibada ya kuaga mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya, leo Mei 11, 2025 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Hayati Msuya aliyezaliwa mwaka 1931, alifariki dunia Mei 7 katika Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu na anatarajiwa kuzikwa Mei 13 katika Kijiji cha Usangi mkoani Kilimanjaro.