
Waandikishaji watakiwa kuwa waadilifu
MSIMAMIZI wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Murtallah Mbillu amewataka waandikishaji kuwa waadilifu na wasimuonee mwanachi mwenye sifa ya kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura. Mbillu ametoa agizo hilo wakati wa kufungua mafunzo katika semina ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa waandikishaji na qasimamizi wasaidizi wa uchaguzi na kuwataka kutekeleza majukumu yao kwa … The post Waandikishaji watakiwa kuwa waadilifu first appeared on HabariLeo.










































