
Platnumz ‘Komasava’ globally goes viral
A VIDEO of reputable artist Chris Brown dancing to Diamond Platnumz’s song Komasava has gone viral on Tiktok The post Platnumz ‘Komasava’ globally goes viral first appeared on Daily News.
Category
Bongo Flava to Hollywood: music releases, film and TV, celebrity news and the culture stories people are talking about across East Africa.

A VIDEO of reputable artist Chris Brown dancing to Diamond Platnumz’s song Komasava has gone viral on Tiktok The post Platnumz ‘Komasava’ globally goes viral first appeared on Daily News.

Ni wazi kuwa kwa sasa Leonardo almaarufu kama Laughs On Leonardo ni moja kati ya wachekeshaji mahiri sana kutoka nchini Tanzania Ucheshi wake pindi akiwa anatumbuiza kwenye jukwaa la Cheka Tu pamoja na video clips zake za mtandaoni zimepelekea kukuza jina lake ambapo kufikia sasa ameshakusanya zaidi ya followers Laki Tano kwenye ukurasa wake wa […] The post Mambo Manne Usiyoyajua Kuhusu mchekeshaji Leonardo first appeared on Millard Ayo.

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Kusah ambae time hii ametuletea hii video yake mpya wa wimbo uitwao Fundi. Unaweza ukabonyeza play kuutazama kisha usisahau kuandika neno lolote The post Mkali wa bongoFleva Kusah ametuletea video yake mpya ‘Fundi’ first appeared on Millard Ayo.

As the Limpopo rapper recovers from the severe accident that tragically claimed his daughter's life, police are investigating the circumstances surrounding the crash.

As the Limpopo rapper recovers from the severe accident that tragically claimed his daughter's life, police are investigating the circumstances surrounding the crash.
MSANII wa zamani wa injili na mshindi wa tuzo za Groove, Kevin Kioko almaarufu Bahati (Mtoto wa mama) amefunguka kuhusu kudidimia kwa muziki wa injili nchini katika miaka ya hivi karibuni. Msanii huyo anasema Kenya itasalia kuwa ngome kuu ya wasanii wa injili japo kutakuwepo na changamoto ya kupata wasanii wakubwa kama ilivyokuwa miaka 10 iliyopita. Kwenye mahojiano na Taifa Dijitali, Bahati anaeleza kuwa kibali hicho kinang’aa nchini Nigeria na Rwanda. Alitaja wasanii wa injili waliopewa kibali hicho walianza majivuno, chuki miongoni mwao na kusababisha kusambaratika. “Kenya ilikuwa na itazidi kuwa ngome ya injili lakini sio kama miaka 10 iliyopita. Kwa sababu Mungu amehamisha kibali hicho…” Alisema Bahati. Baba huyo alisema kuwa wingi wa vipaji vilivyokuwa vimekuzwa kanisani vimegeuzwa na kuwa na chuki. “Si kwamba Kenya hatujui kuimba vizuri, au hatuna nyimbo nzuri za injili, hapana. Ukweli ni kwamba vipaji vimebadilishwa,” aliongeza Bahati. Msanii huyo alisisitiza kwamba idadi kubwa ya vibaraka wamo kanisani ikilinganishwa na wale wapo kwenye muziki wa kidunia. “Wakati mtu unafanikiwa, watu wanajumuika pamoja kwa haraka ili kukuangusha katika sekta ya injili kuliko sekta ya Gengetone,” alieleza. “Sipendi kuzungumzia sana kuhusu masuala ya kanisa. Najua wanajijua watasema natafuta kiki lakini ukweli ni kwamba mimi huogopa sana kusongea sekta ya injili kwa kuwa najua jinsi wanachukiana,” alisema. Hata hivyo mtoto wa mama alikiri kuwa yeye si mwokovu sana kuliko walio mtandaoni, akihimiza kila mmoja kuomba msamaha na kunyenyekea kwa Mungu. “Kitu najua tunahitaji kuomba msamaha na kuacha kuwa vibaraka ili Mungu atupeleke katika kiwango kingine. Bila hivyo, mimi naomba Mungu aendelee kuinua Arbantone kwa kujifanya manaibu wa Yesu,” alikamilisha. Bahati alianza kuvuma mwaka wa 2010 akiwa sekta ya injili, mwaka 2015 akaanza kufanya kolabo na wasanii wa sekula. Hadi ilipofikia mwaka 2023 na kujitokeza na kuweka wazi kuwa si msanii wa injili.
Rapper Solo Langa isn’t fazed about being considered an “underrated rapper” as he believes in his close-knit tribe that rallies and supports his music.

Ni mkali kutokea kwenye Gospel, Christina Shusho akishirikishwa na msanii Titi Ranel kwenye wimbo wake ‘Atatenda Leo’ Karibu ujivinjari na kutazama wimbo huu maalum wa @titirane09 aliyeungana na Christina Shusho bofya hapa; The post Mkali wa Gospel Christina Shusho na titi Ranel wametuletea video mpya ‘Atatenda leo’ first appeared on Millard Ayo.

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI wa Injili Beatrice Mbugua almaarufu Betty Bayo amewashauri wanaotafuta wapenzi wa kudumu, kumuenzi Mungu na kupata mke aliye na sifa za kuomba. Hii ni baada ya aliyekuwa mumewe wa zamani Victor Kanyari Kimani (Pasta Kanyari) kujitokeza na kueleza kuwa ana imani kuwa Betty Bayo angerejea kwake. Katika Mahojiano na Taifa Leo, Betty Bayo […]

NA SINDA MATIKO STAA wa Bongo Flava Mbosso Khan kasema kitu anachokiogopa sana katika maisha yake ni mahusiano na wanawake. Mbosso anakiri kupigwa matukio ya kutosha na wanawake tofauti ambao amewahi kutoka nao kiasi kwamba amefikia hatua ya kuwaogopa sana. “Wameshanifunza hao, naowaogopa sana wanawake, wameshaniwasha sana makofi. Nina matukio mengi ya kuzinguliwa na wanawake […]

NA MWANGI MUIRURI MSANII kutoka Mlima Kenya kwa jina Bw Maina Kangoma, amewajibikia balaa iliyokita mizizi katika jamii za eneo hilo ya kupokonyana urithi kupitia utimuaji wa wajane na mayatima pamoja na mauaji. Katika ngoma yake mpya ya ‘Wakinya Mere’ (Ukifika Waambie), Kangoma anaimba kwamba yeye ni mwathiriwa wa njama hiyo ambapo mama yake mzazi […]

Ayra Starr ameweka historia kama msanii wa kwanza wa kike wa Nigeria kupamba chati ya Albamu 200 za U.S. Billboard. Mwimbaji huyo alipata mafanikio hayo kwa albamu yake ya pili, ‘The Year I Turned 21’ iliyoanza kwa mara ya kwanza katika nambari 195 siku ya Jumatatu. “Inaonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye #Billboard200 ya wiki […] The post Ayra Starr aingia kwenye chati ya Albamu 200 U.S. Billboard first appeared on Millard Ayo.
From dazzling on stage as pint-sized "Diamond" in The Masked Singer SA to cooking with the best silverware in the kitchen, taking on the culinary world is the new era in the life of Dineo Ranaka. Ranaka has done it all in showbiz including acting, presenting, radio, producing, reality TV, music and podcasting.
Azana wants to join a list of singers-turned-actors who didn’t limit their talents to just singing.

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI nguli wa rapu Jackson Ngechu Makini almaarufu Prezzo alianguka na kuzimia wakati wa kutumbuiza mashabiki katika hafla ya The Bahati’s Empire, tukio ambalo limezua mjadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu taratibu za matibabu zilizotumika kuokoa maisha yake. Furaha ya hafla iliyohudhuriwa na watu mashuhuri akiwemo Naibu Rais Rigathi Gachagua ilichukua mkondo wa ghafla […]

NA MARGARET MAINA MWANAMUZIKI aliyejiongeza maarifa kuwa nyota wa vipindi vya uhalisia, Kevin Bahati, ametangaza uzinduzi rasmi wa kipindi cha Reality TV kinachoitwa ‘The Bahati Empire’. Kipindi hiki kipya kinachoweka zingatio kwa Bahati na familia yake, kinaanza rasmi Ijumaa kwenye Netflix. Bahati, ambaye pia ndiye mwanzilishi wa lebo ya muziki ya EMB, alishiriki trailer ya […]

NA MWANDISHI WETU MWANAHABARI na deejay mahiri wa muziki wa reggae Njambi Koikai ameaga dunia baada ya kuugua maradhi ya mzunguko wa hedhi. Kulingana na ripoti za watu wa karibu, Njambi ambaye anafahamika kwa jina la kisanii kama Jahmby Faya Mama alifanyiwa upasuaji wa kuondoa kiungo cha ‘endometrium’ kwenye nyungu ya uzazi katika hospitali moja […]
Rising Afro-pop singer Mduduzi Ncube credits God and finding healing through music as his saving grace to break free from a dark period of drug addiction.

South African opera singer Nkululeko Innocent Masuku performed in Britain's Got Talent (BGT) finals on Sunday.

MTANDAONI:Msanii wa bongo fleva Rajabu Abdul ‘Harmonize’, ameachia rasmi albamu yake ya tano ijulikanayo kama Muziki wa Samia. Msanii huyo amechapisha kupitia mitandao yake ya kijamii Juni 3,2024 na kusema albamu hiyo itakuwa na nyimbo 10. Amezitaja kuwa ni Tanzania, Samia Tena, Tunatamba Nae, Anatekeleza, Mama Anajenga, Mama Teacher, Kazi Iendelee, Tuvushe, Na Nusu na … The post Harmonize aachia rasmi Muziki wa Samia first appeared on HabariLeo.

NA SINDA MATIKO BAADA ya mwigizaji staa Wema Sepetu kulia kutoruhusiwa kuingia kwenye uzinduzi wa albamu ya Harmonize iliyohudhuriwa na Rais Samia Suluhu hivi majuzi, ufafanuzi umetolewa. Sepetu alielezea kusikitishwa kwake baada ya walinzi wa Ikulu kumzuia asiingie kwenye uzinduzi huo. Na hata baada ya kuwasihi walinzi wamruhusu, hakukubaliwa. “Nimesikitika kwa sababu nimefika hapa saa […]

Baraza la Sanaa nchini limewataka Wadau wa Muziki kuzingatia mabadiliko ya Kidigitali kwenye ufanisi wa kazi kwa lengo la kutatua changamoto Katika muziki ikiwa ni pamoja na usikivu wa muziki, afya ya masikio, uharibifu wa vyombo vya muziki, pamoja na kutatua uelewa mdogo juu ya vipimo vya vifaa. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam […] The post Uzinduzi wa kitabu cha kutawala vifaa vya muziki wafanyika leo first appeared on Millard Ayo.
Having conquered The Masked Singer SA, Jessica Nkosi plans to make her acting comeback next after a two-year hiatus.

Celine Dion ana matumaini ya kutumbuiza kwa mara ya mwisho katika kipindi maalum cha TV huku kukiwa na ugonjwa wa Stiff-person Chanzo kimoja kiliiambia The Sun, “Celine hakati tamaa ya kuimba tena.” “Amekuwa akifanya kazi na wakufunzi wa sauti, washiriki wa bendi na wataalamu kwa zaidi ya miezi sita sasa,” alishiriki mtu wa ndani. Chanzo […] The post Celine Dion kutumbuiza kwa mara ya mwisho katika kipindi maalum cha TV first appeared on Millard Ayo.

DAR ES SALAAM; Msanii wa hip hop George Sixtus ‘G Nako’ amesema bondia Nassibu Ramadhani, atamkalisha Juma Choki kwenye pambano liitwalo Dar Boxing Derby Juni 29, mwaka huu jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dar es Salaam, G Nako amesema ana imani kubwa na Nassibu Ramadhani kutokana na maandalizi anayoendelea kufanya, huku akimtahadharisha mpinzani wake. … The post G Nako amtabiria ushindi bondia Nassib Ramadhan first appeared on HabariLeo.

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Suma Mnazaleti ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Lala. Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia. The post Suma Mnazaleti katuletea hii video mpya ‘Lala’ itazame hapa first appeared on Millard Ayo.

Singer Sean Kingston has been arrested in California, hours after a police raid of his Florida mansion, during which his mother was also arrested. The post Sean Kingston arrested after police raid singer’s home first appeared on Daily News.

DAR ES SALAAM. Msanii wa filamu Jenifer Kyaka ‘Odama’, amesema hapandi kumuona mwanawe akiingia katika masuala ya filamu. Akizungumza Dar es Salaam, Odama amesema anatamani mtoto wake ajihusishe na masuala mengine, lakini sio sanaa hasa ya uigizaji. “Binafsi sitaki mwanangu ajihusishe na sanaa, afanye mambo mengine, nimeigiza mama yake inatosha, yeye napenda afanye mambo tofauti … The post Odama hataki mtoto wake awe msanii first appeared on HabariLeo.

Beyoncé, Jay-Z, Sony Music Entertainment na wengine wametajwa kuwa washtakiwa katika kesi inayodai kukiuka hakimiliki ya wimbo wa Beyonce wa 2022 wa Break My Soul. Kundi la wanamuziki wa zamani huko New Orleans, ambao waliwahi kuigiza kama Da Showstoppaz, wanasema Break My Soul ilikiuka hakimiliki ya Release A Wiggle, wimbo ambao walirekodi na kuachilia huru […] The post Beyoncé matatani kwa madai ya ukiukaji wa hakimiliki kwenye wimbo wa Break My Soul first appeared on Millard Ayo.

NA FRIDAH OKACHI RAPA Stephen Otieno Adera almaarufu Stivo Simple Boy ameibua gumzo mtandaoni baada ya kuonekana akiwa amevalia nguo ambazo zilitengenezwa kwa kitambaa cha jeans aina ya Denim na kupambwa Kiafrika. Sababu yenyewe aliyotoa ya kuvalia vazi hilo la kipekee iliwavunja mbavu mashabiki wake katika mitandao ya kijamii. Msanii huyo aliambia Taifa Leo vazi […]

Mwimbaji wa Nigeria, Tiwa Savage afichua kwamba anavutiwa na Ayra Starr kwa sababu ya uzoefu wake kwenye kazi kuwa muimbaji anaemkubali. Alibainisha kuwa Starr ameendelea kung’ara kwenye anga ya muziki duniani licha ya ukosoaji unaoletwa kwake na Wanigeria kuhusu uvaaji wake. alisema, “Nampenda Ayra [Starr]. Ninavutiwa naye. Yeye ni wa kushangaza na mtu anayeishi maisha […] The post ‘Ayra Starr ni mwanamuziki nyota anayechipukia lakini anag’ara kimataifa’Tiwa Savage first appeared on Millard Ayo.
Top boxing trainer Alan Toweel Junior stole the brainy quote from American songwriter, singer and actress Madonna to interpret the sudden turnaround of fortunes for Vusi Ngcamu.
Banyana Banyana goalkeeper Andile Dlamini is glad to have shared her hidden singing talent on The Masked Singer SA with the rest of the country.

Mwimbaji Star Harmonize amezungumza na waandishi wa Habari Leo hii kuhusu ujio wa tukio lake kubwa analotarajia kufanya tarehe 25 katika kumbi za Mlimani City ambapo atazindua album yake ya tano aliyoipa jina la Muziki wa Samia akiwa na lengo kupongeza na kusuport harakati za Rais Samia… Album yangu ya mwisho baada ya hii na […] The post Hii ni album yangu ya mwisho-Harmonize first appeared on Millard Ayo.

DAR ES SALAAM: MKE wa msanii wa Hip Hop Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ anayeitwa Paulina Onna maarufu ‘Quenlinnatotoo’ameiambia HabariLEO kuwa kwa mara ya kwanza alikutana na mumewe kwenye ndege wakiwa siti moja kuelekea Afrika Kusini. Quenlinnatotoo na Dogo Janja wamepata mtoto wa kiume Ahyan Abdulaziz mwenye umri wa miezi sita, mwandishi wetu alitaka kujua ilikuaje … The post Paulina Onna, Janjaro kumbe walikutana angani first appeared on HabariLeo.

Mastaa na waimbaji wa Nigeria, Ayra Starr, Burna Boy, Tems, Asake, Seyi Vybez, Davido na Lojay wateuliwa kuwania Tuzo za BET 2024. Ayra Starr aliongoza kikosi cha Nigeria kwa kuteuliwa mara tatu, akifuatiwa kwa karibu na Burna Boy na Tems, na uteuzi mbili kila mmoja. Mwimbaji wa Afrika Kusini Tyla ndiye msanii wa Kiafrika aliyeteuliwa […] The post Burna Boy, Ayra Starr, wameteuliwa kuwania Tuzo za BET 2024 first appeared on Millard Ayo.

Mwimbaji wa Nigeria ambaye ni mshindi wa tuzo ya Grammy, Damini Ogulu, almaarufu Burna Boy, amedai kuwa anatumia asilimia kubwa ya mapato yake ya muziki kwenye kazi za hisani lakini hauruhusiwi kutangaza mtandaoni. Alisema kile alichotumia kupata magari ya kifahari na vito ni “chache” cha mapato yake, akidai kwamba anatumia sehemu kubwa katika maendeleo ya […] The post Natumia asilimia kubwa ya mapato yangu ya muziki kusaidia watu :Burna Boy first appeared on Millard Ayo.

NA FRIDAH OKACHI BAADA ya pandashuka za hapa na pale alipokosana na meneja wake, mwanamuziki Stephen Otieno Adera almaarufu ‘Stivo Simple Boy’ amerudishiwa akaunti zake za kuvumisha muziki wake. Hii ni baada ya meneja wake wa zamani, Chingiboy Mstado, kusema wamemaliza bifu baina yao. Mstado alisema aliona msanii huyo angekuja kusumbuka huko mbeleni akidai kuwa […]

Wanaume watano kati ya saba waliohusishwa na mauaji ya mwanamuziki Kiernan “AKA” Forbes na mpishi Tebello “Tibz” Motsoane walikataliwa dhamana na Jaji Vincent Hlatshwayo katika Mahakama ya Durban Jumatano, Mei 15. “Ni uamuzi wa mahakama hii kwamba kuna kesi ya waombaji kujibu, ni uamuzi wa mahakama hii kwamba itakuwa ni uzembe na kutowajibika kuwaruhusu waombaji […] The post Washukiwa wa mauaji ya Tibz na rapa AKA wanyimwa dhamana first appeared on Millard Ayo.

Kendrick Lamar amevunja rekodi nyingine ya Drake wakati wa vita vyao vya maneno baada ya “Not Like Us” kuvunja rekodi ya utiririshaji iliyowekwa hapo awali na “God’s Plan.”ya mwaka 2018. Kulingana na chapisho kutoka kwa Chart Data mnamo Jumanne (Mei 14), diss track iliyotayarishwa na Mustard ikawa wimbo wa kasi zaidi katika historia ya Hip […] The post Kendrick Lamar avunja rekodi nyingine ya Drake Spotify first appeared on Millard Ayo.

The five men accused of killing rapper Kiernan "AKA" Forbes and his friend, chef and businessman, Tebello "Tibz" Motsoane, plan to appeal a court ruling which denied them bail on Wednesday.

The Durban Magistrate's Court has denied bail for the men accused of killing rapper Kiernan 'AKA' Forbes and his friend, chef and entrepreneur Tebello 'Tibz' Motsoane.
The five men accused of the murders of rapper Kiernan “AKA” Forbes and his friend Tebello 'Tibz' Motsoane have been denied bail.
Idols SA alum Khaya Mthethwa is the mastermind musical director ensuring that Mzansi stars hit the right notes on The Masked Singer SA. Season two of the hit show at the weekend saw former Springboks player Breyton Paulse being unmasked as " Monster” joining Dricus du Plessis (Wildebeest), Nthati Moshesh (Springbok), Celeste Ntuli (Tortoise), Khutso Theledi (Lion) and Nonkanyiso “LaConco” Conco (Star).

Halled over the coals: Rapper Macklemore’s track Hind’s Hall, which criticises Israel’s war, has gone viral.

Baada ya ukimya wa takriban miezi mitano hatimaye msanii kutokea lebo ya Bxtra Records, Jaivah ameachia ngoma yake mpya ya kuitwa “Kautaka” ambayo amemshirikisha msanii kutokea Afrika Kusini JFS Music. “Kautaka” ni ngoma ya kwanza ya Jaivah kwa mwaka 2023 na inakuja takribani miezi mitano tangu aachie ngoma yake ya Buruda akiwa na Marioo. Kama […] The post AudioMPYA: Jaivah kaja kutikisa Bongo Fleva na ngoma yake pya “Kautaka” first appeared on Millard Ayo.

DAR ES SALAAM; Msanii wa Bongo fleva, Stara Thomas amesema licha ya kuokoka, lakini ataendelea kuimba nyimbo zake za zamani kwa kuwa Roho Mtakatifu anamuongoza kuimba muziki huo. “Nimeokoka pia ni Mchungaji, lakini sijaachana na kuimba muziki wangu wa zamani ambao watu wanasema ni miziki ya kidunia, ndio tunaimba kwa sababu tupo duniani lazima tuimbe. … The post Stara: Sitaacha kuimba nyimbo za zamani first appeared on HabariLeo.

Waendesha mashtaka wa Afrika Kusini watawasilisha hoja za mwisho katika ombi la dhamana la wanaume watano wanaoshtakiwa kwa mauaji ya mwanamuziki Kiernan “AKA” Forbes na rafiki yake Tebello “Tibz” Motsoane katika Mahakama ya Durban siku ya Ijumaa. Wawili hao walipigwa risasi na kuuawa nje ya mkahawa mmoja wa Durban mwaka jana, na kuibua mshtuko mkubwa […] The post Mahakama kusikiliza hoja za mwisho za maombi ya dhamana ya watuhumiwa wa mauaji ya AKA first appeared on Millard Ayo.
Closing arguments for bail will be heard in the trial for the murders of rapper Kiernan "AKA" Forbes and his friend Tebello "Tibz" Motsoane in the high court in Durban today.

DAR ES SALAAM: Mrembo machachari na msanii wa Bongo Fleva Gift Stanford ‘Gigy Money’ anatarajia kuzindua kipindi cha luninga kitakachoonesha maisha yake halisi ‘Reality Show’. Tukio hilo linatarajiwa kufanyika leo Alhamisi katika moja ya hoteli kubwa jijini Dar es Salaam. Soma: Omondi amkalia kooni Diamond chanzo Tanasha ‘Shoo’ hiyo ya maisha halisi ya Gigy itakayoyaanika … The post Maisha ya Gigy kuanikwa luningani first appeared on HabariLeo.