
Nyota wa Afrobeats wa Afrika Kusini, Tyla kuchuana na mastaa tena katika tuzo za MTV
Mwimbaji mahiri wa Afrika Kusini Tyla atachuana tena uso kwa uso na wababe wa Afrobeats wa Nigeria katika Tuzo za Muziki za MTV za 2024 zinazotarajiwa kufanyika Septemba 11. Mwimbaji huyo wa ‘Water’ ameteuliwa katika kitengo cha Best Afrobeats pamoja na nyota wa Nigeria Ayra Starr, Burna Boy, na Tems. Nyota hao wa Kiafrika kwa […] The post Nyota wa Afrobeats wa Afrika Kusini, Tyla kuchuana na mastaa tena katika tuzo za MTV first appeared on Millard Ayo.





























