NA FRIDAH OKACHI BAADA ya pandashuka za hapa na pale alipokosana na meneja wake, mwanamuziki Stephen Otieno Adera almaarufu ‘Stivo Simple Boy’ amerudishiwa akaunti zake za kuvumisha muziki wake. Hii ni baada ya meneja wake wa zamani, Chingiboy Mstado, kusema wamemaliza bifu baina yao. Mstado alisema aliona msanii huyo angekuja kusumbuka huko mbeleni akidai kuwa […]