NA MWANGI MUIRURI MSANII kutoka Mlima Kenya kwa jina Bw Maina Kangoma, amewajibikia balaa iliyokita mizizi katika jamii za eneo hilo ya kupokonyana urithi kupitia utimuaji wa wajane na mayatima pamoja na mauaji. Katika ngoma yake mpya ya ‘Wakinya Mere’ (Ukifika Waambie), Kangoma anaimba kwamba yeye ni mwathiriwa wa njama hiyo ambapo mama yake mzazi […]