NA MARGARET MAINA MWANAMUZIKI aliyejiongeza maarifa kuwa nyota wa vipindi vya uhalisia, Kevin Bahati, ametangaza uzinduzi rasmi wa kipindi cha Reality TV kinachoitwa ‘The Bahati Empire’. Kipindi hiki kipya kinachoweka zingatio kwa Bahati na familia yake, kinaanza rasmi Ijumaa kwenye Netflix. Bahati, ambaye pia ndiye mwanzilishi wa lebo ya muziki ya EMB, alishiriki trailer ya […]