Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Suma Mnazaleti ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Lala.
Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.
The post Suma Mnazaleti katuletea hii video mpya ‘Lala’ itazame hapa first appeared on Millard Ayo.