NA SINDA MATIKO BAADA ya mwigizaji staa Wema Sepetu kulia kutoruhusiwa kuingia kwenye uzinduzi wa albamu ya Harmonize iliyohudhuriwa na Rais Samia Suluhu hivi majuzi, ufafanuzi umetolewa. Sepetu alielezea kusikitishwa kwake baada ya walinzi wa Ikulu kumzuia asiingie kwenye uzinduzi huo. Na hata baada ya kuwasihi walinzi wamruhusu, hakukubaliwa. “Nimesikitika kwa sababu nimefika hapa saa […]