NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI nguli wa rapu Jackson Ngechu Makini almaarufu Prezzo alianguka na kuzimia wakati wa kutumbuiza mashabiki katika hafla ya The Bahati’s Empire, tukio ambalo limezua mjadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu taratibu za matibabu zilizotumika kuokoa maisha yake. Furaha ya hafla iliyohudhuriwa na watu mashuhuri akiwemo Naibu Rais Rigathi Gachagua ilichukua mkondo wa ghafla […]