NA MWANDISHI WETU MWANAHABARI na deejay mahiri wa muziki wa reggae Njambi Koikai ameaga dunia baada ya kuugua maradhi ya mzunguko wa hedhi. Kulingana na ripoti za watu wa karibu, Njambi ambaye anafahamika kwa jina la kisanii kama Jahmby Faya Mama alifanyiwa upasuaji wa kuondoa kiungo cha ‘endometrium’ kwenye nyungu ya uzazi katika hospitali moja […]