NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI wa Injili Beatrice Mbugua almaarufu Betty Bayo amewashauri wanaotafuta wapenzi wa kudumu, kumuenzi Mungu na kupata mke aliye na sifa za kuomba. Hii ni baada ya aliyekuwa mumewe wa zamani Victor Kanyari Kimani (Pasta Kanyari) kujitokeza na kueleza kuwa ana imani kuwa Betty Bayo angerejea kwake. Katika Mahojiano na Taifa Leo, Betty Bayo […]