
Sho Madjozi atangaza kustaafu muziki
Mwanamuziki kutoka Afrika Kusini Sho Madjozi aliyetamba na ngoma ya “John Cena”, Ametangaza Rasmi Kuacha Kufanya Muziki punde tu Atakapoachia album yake hivi karibuni. Muimbaji Huyu Alisikika Kwenye Interview Katika Kituo Cha #sabcnewsonline akikubali tetesi za yeye kuacha muziki hivi karibuni. Alitangaza haya pia kupitia ukurasa wake wa Instagram Alhamisi, 21 Novemba, akisema kwamba albamu […] The post Sho Madjozi atangaza kustaafu muziki first appeared on Millard Ayo.























