Singer Naledi Aphiwe publicly apologised after her controversial performance at the Mthandeni Summer Experience, admitting her actions disrupted Maskandi star Gatsheni's set.
Close friends of Afropop singer Winnie Khumalo have expressed shock at the news of her passing after a brief illness. Sello Chicco Twala, Winnie's former producer, said he received the devastating news on Tuesday afternoon from the singer's son. “Winnie was not sick. We knew nothing – there wasn’t even a sign.
Two of the five accused allegedly linked to the murders of rapper Kiernan AKA Forbes and his friend Tebello “Tibz” Motsoane in February 2023 will make a fresh bid for bail based on new facts.
Msanii wa rap kutoka Texas, 2 Low amenusurika kujijeruhi baada ya Bunduki yake iliyokua mfukoni mwake kufyatuka ghafla wakati wa mahojiano ya moja kwa moja kwenye kipindi cha YouTube, One on One with Mike D ambapo Msanii huyo alikuwa akijadili safari yake ya muziki. Bunduki hiyo ilifyatuka ghafla alipokuwa akiweka mkono mfukoni hali iliyosababisha mshangao […] The post Rapa 2 Low ajifyatulia risasi bahati mbaya ndani ya suruali yake kwenye Interview first appeared on Millard Ayo.
Naledi Aphiwe's performance at Mthandeni Summer Experience turned chaotic. Fans, demanding the return of Khuzani 'Gatsheni' Ndlovu, disrupted her set by hurling bottles and cans.
Bryan Singer, the acclaimed director of the hit film Bohemian Rhapsody, has on Friday January 3, 2025, visited the Freddie Mercury Museum in Shangani, Zanzibar
FATAKI, vifijo na nderemo, honi za magari na pikipiki, zilitanda angani ilipotimia saa sita kamili usiku wa kuamkia jana huku mamilioni ya Wakenya wakiaga 2024 na kukaribisha 2025. Jiji la Nairobi liligeuka kituo cha burudani ambapo tamasha mbili zilifanyika katika eneo la Kencom na katika Jumba la Mikutano la Kimataifa (KICC) na kuwapa fursa maelfu ya Wakenya kusakata ngoma. Wakenya waliozungumza na Taifa Leo walielezea matumaini kuhusu mwaka mpya huku wakijiandaa kustahimili changamoto zitakazojitokeza. “Mwaka wa 2024 ulikuwa mgumu na tunashukuru mwaka mpya umeingia. Tulipoteza vijana wengi na tunaomba mwaka huu uwe tofauti,” alisema Bw Mark Muriithi, aliyekuwa miongoni mwa walioshuhudia milipuko ya fataki katika jengo la Old Mutual, Upperhill. Kwenye barabara kuu ya Nairobi Expressway, mamia ya waendeshaji magari walisimamisha magari yao kutazama maonyesho ya fataki katika majengo kadhaa katikati mwa jiji kuu pamoja na viunga vya Upperhill na Kilimani. Mamia ya watu walihudhuria misa kuanzia saa moja asubuhi katika makanisa ya Katoliki ya Holy Family Basilica na All Saints Cathedral ambapo saa tatu unusu, waumini waliandika sala za mahitaji yao 2025. Katika kanisa la Zoe Worship Centre, Kinoo, mamia ya waumini walifika kumshukuru Mungu ambapo kiongozi wao, mchungaji David Nduine, alizungumza kuhusu changamoto zilizogubika 2024 ikiwemo visa tele vya utekaji nyara, ufisadi, mauaji ya wanawake na malumbano baina ya kanisa na serikali. Wakazi na watalii eneo la Pwani walikaribisha mwaka mpya katika vituo mbalimbali ambapo walitumbuizwa na wasanii akiwemo mwanamuziki wa Tanzania, Zuhura Outhman Soud, almaarufu Zuchu, aliyeongoza burudani ya kuvuka mwaka katika hoteli ya Sarova White sands.Wasanii wa Kenya waliotumbuiza katika tamasha hiyo vilevile ni pamoja na Hart Band, MC Jessy na Mwalimu Rachael. Huku wapenzi wa burudani wakijivinjari, wanawe marehemu mfanyabiashara tajiri Hasmukh Patel, walikusanyika katika bustani ya Kibarani kugawa vyakula, na mavazi kwa wasiobahatika katika jamii. Kaka hao walitangaza kuwa watarejelea shughuli za kutoa msaada wa vyakula kwa heshima ya baba yao wakisema mpango huo ulisitishwa na maandamano ya Gen-Z. Katika Kaunti ya Kilifi, mwanamuziki wa Tanzania, Rajab Abdul Kahali, almaarufu Harmonize au Konde Boy, aliburudisha watu eneo la Water Grounds huku Gavana Abdulswammad Nassir akivukia mwaka Mama Ngina Water Front. Rais William Ruto alitoa hotuba yake ya mwaka mpya katika ikulu ndogo ya Kisii huku Raila Odinga akiongoza viongozi na wakazi kusherehekea tamasha za Piny Luo Festival 2024, katika Chuo Kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga. Rais aliyeandamana na mke wake Rachel kwa maakuli ya mwaka mpya, alivutia umati alipodansi wimbo wa Kasongo wa Kanema ambao umekuwa ukitumika kumdhihaki mitandaoni. Gavana Fernandes Barasa aliwaongoza mashabiki wa kandanda kushabikia Kombe la Gavana katika uwanja wa Mumias Sports Complex huku idadi kubwa ya wakazi wakifurika makanisani kuvuka mwaka.Katika kaunti ya Nakuru, halaiki ya watu walikusanyika makanisani, barabarani, hotelini na vituo vya umma, kuukaribisha mwaka mpya huku wakazi wakishuhudia mfataki zikilipuka. Kinyume na hapo awali, fataki zililipuliwa nje na ndani ya kanisa.Katika kanisa la Christ the King Cathedral, Nakuru, waumini wenye bashasha walilipua fataki kukaribisha mwaka mpya baada ya Kasisi Joseph Muchiri kukamilisha mahubiri na kuwahimiza Wakristo kuwa na moyo wa shukrani. Eneo la Mlima Kenya, wakazi walifurika makanisani, misikitini na vilabu kukaribisha mwaka mpya wakitoa wito kwa serikali kupunguza gharama ya maisha nchini.Fataki zillipuliwa katika kituo cha Nyeri Golf Club, Kaunti ya Nyeri, huku wanaburudani wakisema wanatumai 2025 itakuwa yenye heri. Viongozi na wakazi Laikipia, Isiolo na Meru Kaskazini walitaka kero la majangili likomeshwe mwaka huu. Ripoti za Steve Otieno, Ndubi Moturi, Jurgen Nambeka, Winnie Atieno, Philip Muyanga, Mwangi Muiruri, Mwangi Ndirangu, Gitonga Marete, Sammy Kimat George Munene, David Muchui, Francis Mureithi, John Njoroge, Waikwa Maina, Rushdie Oudia, Kassim Adinasi, Ruth Mbula na Shaban Makokha.
Five people have been indicted in Argentina over the death of British singer Liam Payne, who fell from a Buenos Aires hotel balcony in October after consuming alcohol and drugs, prosecutors said Monday.
Jaji mmoja nchini Argentina ametia saini mashtaka ya kuendelea na kesi dhidi ya watu watano wanaohusishwa na kifo cha kusikitisha cha aliyekuwa mwanamuziki nyota wa One Direction, Liam Payne. Wawili kati ya walioshtakiwa waliamriwa kifungo kwa kumpa Payne dawa kabla ya kifo chake. Ripoti za uchunguzi wa maiti ziligundua pombe na kokeini kwenye mfumo wa […] The post Watu 5 wanaohusishwa na kifo cha Liam Payne kizimbani first appeared on Millard Ayo.
Ni Mkali Mr TZ ambae time hii ametuletea hii video mpya wimbo wake aliyomshirikisha Brandy Bramer uitwao Too Much. Unaweza ukabonyeza play kuutazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili wao wakipita wasome mlichowaandikia. The post Mr TZ katuletea hii nyingine akiwa na mrembo Brandy Bramer itazame ‘Too Much’ first appeared on Millard Ayo.
MSANII nguli wa Uganda Jose Chameleone ametua Boston, Amerika, kwa matibabu maalumu baada ya kuondoka hospitali moja jijini Kampala alikolazwa kwa muda. Ripoti zilisema msanii huyo aliwasili Amerika mapema wiki hii na kupokelewa na kakake mdogo na mwanamuziki mwenzake, Weasel, ambaye amekuwa akiratibu mipango ya matibabu yake ng’ambo. Chameleone sasa anajiandaa kupata matibabu huko Boston, hatua ambayo familia yake na marafiki wanaamini itatoa huduma ya hali ya juu anayohitaji kushughulikia changamoto zake za kiafya zinazoendelea. Mwanamuziki huyo alisikitika kuwa kwa mara ya kwanza katika miaka mingi hakuweza kutumbuiza mashabiki wake msimu wa sherehe za Krismasi na mwisho wa mwaka. Kusafiri kwake Amerika kunafuatia kipindi cha kutokuwa na uhakika na mjadala kuhusu iwapo alifaa kusalia katika Hospitali ya Nakasero ya Kampala au kutafuta matibabu ng’ambo tovuti ya Chimpreports ilisema. Uamuzi wa kumsafirisha Chameleone kwenda Amerika ulijiri huku mwanawe, Abba Marcus Mayanja, akifichua kwamba mwimbaji huyo amekuwa akipambana na matatizo yanayotokana na matumizi ya dawa za kulevya. Ombi la Abba kwa mashabiki na watu wenye mapenzi mema lilionyesha dharura ya hali hiyo. “Tunahitaji kuungana na kumsaidia kama tunataka kumweka katika familia yetu,” Abbas alisema, akitoa wito kwa mashabiki kumuunga mkono baba yake. Kulingana Chimpreports, madaktari katika Hospitali ya Nakasero awali walikuwa wameonya dhidi ya kumhamisha Chameleone, wakitaja hali yake dhaifu na hatari zinazohusishwa na safari ndefu ya ndege. Pia walisisitiza kuwa hospitali hiyo ina utaalamu na vifaa vinavyohitajika kushughulikia hali yake. Hata hivyo, marafiki wa karibu wa Chameleone na familia, wakiongozwa na mwanamuziki Sarah Zawedde, walichagua kumsafirisha hadi Amerika, wakiamini kuwa matibabu maalum nje ya nchi yatamwezesha kupona. Chameleone, anayejulikana kwa mchango wake mkubwa katika muziki wa Afrika Mashariki, bado ni mmoja wa wasanii maarufu zaidi katika ukanda huu.
South African singer Bassie, known for her double platinum hit "Kwelanga," shares insights on her journey, debut album "Umculo," and the timeless legacy she aims to build in the music industry.
Jaji wa Brazil ameamuru wimbo wa mwimbaji nyota wa pop wa Uingereza Adele,”Million Years Ago,”ufutwe kwenye majukwaa ya muziki duniani kote ikiwa ni pamoja na huduma za utiririshaji kutokana na madai ya wizi Amri hiyo inatishia kampuni tanzu za Brazil za Sony Music Entertainment na Universal Music, lebo za Adele, kwa kulipa faini ya $8,000 […] The post Adele adaiwa kuiba wimbo “Million Years Ago,” first appeared on Millard Ayo.
Good news ninayotaka kukusogezea kwa wewe mpenda burudani hususani muziki wa Afrika Kusini unaotamba kwasasa maarufu kama Amapiano. Ni kwamba warembo wanaounda kundi la liitwalo Tango Supreme wanatarajiwa kuzichezesha live nyimbo za nchini kwao katika kisiwa kiiitwacho Mbudya kilichopo Jijini DAR ES SALAAM Warembo hao watapanda katika jukwaa litakalofungwa Elements Masaki Dar es Salaam mahali ambapo […] The post Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 21th Mbudya Island DSM first appeared on Millard Ayo.
Waziri wa Habari, Vijana ,Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita ametoa ruhusa ya upigaji wa muziki katika siku nne za Sikukuu ya Krismas sambamba na siku mbili za kusherehekea mwaka mpya huku ikizingatia uthibiti wa sauti ili isiwe kero kwa Jamii. kauli hiyo ameitoa katika ukumbi wa kituo cha Elimu Amali Makunduchi wakati wa […] The post Waziri aruhusu kupigwa muziki nyakati za sikukuu Zanzibar first appeared on Millard Ayo.
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital MSANII wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ ameshirikishwa na staa wa muziki kutoka nchini Ghana, KJ Spio katika kibao kiitwacho ‘Messi”. Katika kolabo hiyo, mbali na Harmonize, KJ amemshirikisha mwanamuziki mwingine, mkali wa Dancehall kutoka Jamaica, Konshens ambao kwa pamoja wamenogesha singo hiyo. Ngoma hiyo ambayo imetayarishwa na mshindi wa […]
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital MSANII wa muziki kutoka nchini Rwanda, Bruce Melodie, ameachia singo yake mpya iitwayo “Niki Minaji” akiwa amemshirikisha msanii wa Afrika Kusini, Blaq Diamond. Ni kibao chenye mikong’osio ya Amapiano na Afropop ambapo wawili hao wamefanya vurugu za aina yake katika wimbo huo. Wimbo huo haumzungumzii moja kwa moja Nicki Minaj […]
TANAPA imezindua Kampeni ya Shangwe la Sikukuu na TANAPA Arusha lengo likiwa ni kuhamasisha watanzania na wasio watanzania kutembelea Hifadhi za Taifa kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025. Akizingumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi huo, Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Jully Bede Lyimo anayeshughulia Maendeleo ya Biashara TANAPA […] The post Mchekeshaji Eliud atua na helkopta Arusha,Watanzania watakiwa kwenda hifadhini first appeared on Millard Ayo.
Wanaume watatu zaidi wamemshutumu Sean “Diddy” Combs kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono katika kundi la kesi mpya zinazodai mwanamuziki huyo wa rap aliwapatia dawa za kulevya na nyanyasa. Malalamiko hayo, yaliyowasilishwa kando katika mahakama kuu ya New York siku ya Alhamisi, yanahusisha matukio ambayo yanadaiwa kutokea kati ya mwaka 2019 hadi 2022. Wanaume wawili […] The post Wanaume watatu zaidi wamemshutumu Sean “Diddy” Combs first appeared on Millard Ayo.
Rapper and music producer Anatii says he's officially “back outside” after a two-year hiatus and that his new project which sees him putting on young talent with global superstars such as Busta Rhymes, is his pride and joy.
Rais wa Kenya William Ruto ameongoza taifa katika maadhimisho ya Siku Kuu ya Jamuhuri Kama ilivyo ada Jeshi la Kenya liliandaa gwaride maalum kwa heshima ya amiri jeshi mkuu wa vikozi vya Ulinzi na Usalama nchini Kenya. Rais Ruto alikagua gwaride linalofahamika kama Trooping of the colour baada ya wimbo wa taifa kupigwa uwanjani. Wanajeshi […] The post Jamhuri Day 2024, Ruto aongoza maadhimisho ya miaka 61 first appeared on Millard Ayo.
MSANII wa Bongo, Diamond Platnumz, amevunja kimya chake kufuatia hatua yake ya kutotumbuiza katika tamasha la Furaha City Festival jijini Nairobi. Msanii huyo inasemekana alipokea kitita cha dola 150,000 (takriban Sh19.3 milioni) ili kupamba hafla hiyo lakini akaondoka ukumbini bila kutumbuiza, na ameweka wazi kuwa hatarejesha donge hilo. Katika video iliyoelekezwa kwa mashabiki wake, Diamond anaeleza kuwa yeye hufuata kikamilifu sera zake za utendakazi, ikiwa ni pamoja na kuheshimu muda uliopangwa. “Siwezi kulipwa dola 150,000 kisha nije kupigana kutumbuiza jukwaani,” alisema. “Nitafika ukumbini kwa wakati kusubiri mwandalizi wa hafla aniite jukwaani, nitaendelea kuangalia saa yangu, na muda wangu wa kutumbuiza ukiisha nitatoka nje ya ukumbi huo na sirudishi pesa zozote." Diamond alisisitiza kuwa hajihusishi na mabishano na wasanii wengine au waandalizi ili kupata nafasi yake jukwaani. "Sihitaji kujadiliana na waandalizi au kupigana na wasanii wengine ili niruhusiwe kutumbuiza. Hiyo sio nidhamu yangu," alisema kwenye video hiyo. Mwimbaji huyo pia alizungumzia madai yaliyotolewa na msanii wa Kenya Willy Paul, ambaye anadai kuwa uongozi wa Diamond ulimzuia kutumbuiza ili kuruhusu nyota huyo wa Tanzania kupanda jukwaani kwanza. "Itakuwa upumbavu kwangu kufanya hivyo; ina maana gani?" Diamond alihoji. "Mimi ndiye mhusika mkuu, ambayo ina maana wasanii wengine wote wanaigiza kabla yangu. Willy Paul anajaribu tu kutengeneza drama kwa sababu bado anatafuta umaarufu. Huu ni upuuzi—muziki unahitaji bidii na usimamizi mzuri, si ushupavu na huruma." Alisema kuwa alifika mapema na kusubiri kwenye gari lake, kwani anapendelea kutokaa nyuma ya jukwaa. “Tangu nilipofika kulitokea fujo ambazo hazikuisha, meneja wangu alimpigia simu mratibu kumuuliza kwa nini kuna fujo nyingi na kwanini mambo hayakusimamiwa ipasavyo, alijibu na kusema alihitaji dakika 10 zaidi. Kwa bahati mbaya, ghasia zilfika mahali nilipoketi," Diamond anaelezea. Hali ilipozidi kudorora, meneja wa Diamond aliamua ni bora amrudishe hotelini kwake. "Kulikuwa na fujo pande zote za hafla, na sielewi kwa nini ilifanyika," anasema. "Msanii hawezi kutumbuiza chini ya hali kama hizi, na wengine wanaweza kuiona kama kukosa heshima." Diamond anasema alisubiri kwa takribani saa tatu bila kupanda jukwaani, akieleza kusikitishwa kwake lakini akathibitisha kuwa hakuwa na la kufanya. Wakati huo huo waandalizi wa tamasha wamejitetea. “Tunasikitika sana kutangaza kuwa Diamond Platnumz hakutumbuiza katika tamasha la Furaha City kama ilivyopangwa, sisi tukiwa waandalizi tulijitahidi yeye na timu yake walikuwa sawa, kuhakikisha mipango na dharura zote zilishughulikiwa ili kusiwe na matatizo.. Hata hivyo tabia na matakwa ya timu yake yalionekana kuwa ya kusikitisha na ya kupindukia kupita kiasi," ilisema taarifa hiyo. Huku wakikiri kulitokea suala dogo la kiusalama linalomhusisha msanii mwingine, walifafanua, "Tulitatua kwa haraka na kuhakikisha kwamba tamasha iliendelea kwa njia salama na ya kitaaluma. Tunaamini katika kuwatendea wasanii wote usawa na kudumisha viwango vya ubora wa juu kwa kila mtu anayehusika." IMETAFSIRIWA NA BENSON MATHEKA
All eyes are on Cape Town-born rapper K.Keed, whose cutting-edge and unorthodox rap style has seen her emerge as the most streamed female hip-hop artist in 2024.
An amended lawsuit filed in a US federal court on Sunday alleges rap mogul Jay-Z raped a 13-year-old girl together with Sean "Diddy" Combs during a party in 2000.
The Director of Public Prosecutions in Pretoria, advocate Sibongile Mzinyathi, is keeping his cards close to his chest when it comes to whether or not singer Kelly Khumalo might be charged in connection with the 2010 murder of her former boyfriend, soccer star Senzo Meyiwa.
The Eswatini-based brothers accused of killing rapper Kiernan “AKA” Forbes and chef Tebello “Tibz” Motsoane will be able to appeal the order for them to be extradited to South Africa to face the murder charges.
The state in the Kiernan “AKA” Forbes murder trial suffered a setback on Friday when the Durban magistrate's court refused to grant a further postponement to allow for the extradition from grant a further postponement for to allow for the extradition of two siblings from Eswatini who are alleged to have been involved in the rapper's murder.
The State's bid to have two men brought to South Africa from Eswatini to stand trial for the murders of rapper Kiernan "AKA" Forbes and his friend Tebello "Tibz" Motsoane has been delayed after a high court in the neighbouring county ruled that their appeal against their extradition will be heard.
Ni mwendelezo wa tamasha la Samia Fashion Festival ambayo this time anatarajiwa kwenda kufanyika Zanzibar Jumamosi hii ya Tarehe 30 huku chief judge wa Swamy hii akitarajiwa kuwa Millen Magese ambaye amekuwa akiishi Marekani Katika mkutano na waandishi wa Habari Leo hii muandaaji wa tamasha hilo Khadija Mwanamboka aliyeambatana na Mchekeshaji Idris Slutani amesema kuwa […] The post Millen Magese kuwaongoza Jokate, Idriss, Faraja na Kadinda Samia festival first appeared on Millard Ayo.
Good news ninayotaka kukusogezea kwa wewe mpenda burudani hususani muziki wa Afrika Kusini unaotamba kwasasa maarufu kama Amapiano Ni kwamba Warembo wanaounda kundi la liitwalo TxC akiwemo Tarryn & Clair wamatarajiwa kuzichezesha live nyimbo za nchini kwao siku ya Jumamosi Desemba 7, 2024. Warembo hao watapanda katika jukwaa litakalofungwa Elements Masaki jijini Dar es Salaam […] The post TxC kutumbuiza DSM kwa mara ya tano, Desemba 7 first appeared on Millard Ayo.
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili, Sinach, anakabiliwa na kesi ya shilingi bilioni 25 katika Mahakama Kuu ya Lagos, iliyofunguliwa na mtayarishaji wa muziki Michael Oluwole, anayejulikana kama Maye. Oluwole anadai alichangia mafanikio ya wimbo maarufu Way Maker kwa kurekodi, kuchanganya, na kufanya mastering, pamoja na kuunda vyombo kama piano na synthesizers. Hata hivyo, anadai […] The post Msanii wa injili wa Nigeria, Sinach ashitakiwa madai ya ukiukaji wa hakimiliki first appeared on Millard Ayo.
WAZEE kisiwani Lamu wametofautiana kuhusu iwapo ni sawa muziki wa Bongo Flava kuchezwa wakati wa maadhimisho ya kila mwaka ya Tamasha za Utamaduni wa Lamu. Kila mwaka, waandalizi wa tamasha hizo huwaalika wasanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania kutumbuiza watu wanaohudhuria hafla hiyo. Mwaka huu, tamasha hizo zimepangiwa kufanyika kisiwani Lamu kuanzia Alhamisi, Novemba 28 hadi Jumamosi, Novemba 30. Waandalizi tayari wametangaza kuwaalika wasanii kadha wa Bongo Flava, ikiwemo Dennis Mwasele, almaarufu kama D Voice na Bi Yasirun Yassin Shabaan, almaarufu kama Yammi. [caption id="attachment_163514" align="alignnone" width="2560"] Msanii Abdul Juma Idd, almaarufu akijulikana kwa jina la jukwaani kama Lava Lava akitumbuiza halaiki ya mashabiki kwenye eneo la Mkunguni kisiwani Lamu wakati wa Tamasha za Utamaduni wa Lamu mnamo Novemba 26, 2022. Picha|Kalume Kazungu[/caption] Kwenye mahojiano na Taifa Leo, baadhi ya wazee walilalamika kuwa, mara nyingi wasanii wa muziki wa Bongo Flava wanapotumbuiza hadhira wakati wa tamasha za utamaduni wa Lamu, wao huishia kwenda kinyume na azma ya sherehe yenyewe. Dhamira kuu ya tamasha hizo huwa ni kuzienzi mila na tamaduni za Waswahili wa asili ya Wabajuni wapatikanao Lamu. Bw Abdalla Faraj, mzee wa kisiwani Lamu, alisema ni mwiko kuwaona wanawake kwa wanaume wakisakata densi na kupapasana jukwaani wakati wasanii hao wanapotumbuiza hadhira. “Utapata wasanii hawa wa Bongo Flava punde wanapoanza kutumbuiza, hadhira hushikwa na mihemko kiasi cha kuzisahau kabisa mila, itikadi na tamaduni za Lamu,” akasema Bw Faraj. Kauli hii iliungwa mkono na Bw Ahmed Hussein, mkazi wa Lamu aliyesema kinachostahili kufanywa na waandalizi ni kupeana kipaumbele burudani zinazoendana na maudhui ya sherehe. Densi asilia za Lamu kama Goma Bw Hussein alisema ni vyema densi asilia za Lamu kama vile Goma, Chama, Kirumbizi, Uta, Thwari la Ndhiya, Lele Mama, Vugo, na nyinginezo kuchezwa wakati wa Tamasha za Utamaduni wa Lamu ili kuwawezesha wanaohudhuria hafla hiyo kujielimisha na tamaduni hizo za wenyeji wa Lamu. “Maonyesho ya Tamasha za Utamaduni wa Lamu yanafaa kuwa yenye uasilia wa mila zetu. Wanaokuja Lamu kuhudhuria sherehe wanatazamia kujihamasisha kwa mengi ya zamani na ya sasa yanayoihusu jamii ya Lamu. Sidhani kuwaleta wasanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania kunaafikiana na matarajio na maudhui ya sherehe husika,” akasema Bw Hussein. Waziri wa Utamaduni Lamu, Bi Aisha Miraj alisema wasanii wote walioalikwa kutumbuiza kwenye sherehe za utamaduni wa Lamu hawataenda kinyume na yanayotarajiwa. “Watu wasiwe na shaka. Hawa wasanii tumekutana nao tayari na kuwajulisha ni lipi hasa wanafaa kufanya wakati wanapotumbuiza jukwaani. Tumewashauri ikiwezekana hata wavae mavazi yanayodhihirisha tamaduni za Lamu,” akasema Bi Miraj. [caption id="attachment_163515" align="alignnone" width="2560"] Sehemu mojawapo ya kisiwa cha Lamu ambapo Tamasha za Utamaduni wa Lamu zinaandaliwa kuanzia Alhamisi, Novemba 28 hadi Jumamosi Novemba 30, 2024.[/caption] Hata hivyo, wazee wengine walishikilia msimamo kwamba, tamasha hizo huvutia aina mbalimbali za watu kwa hivyo hakuna tatizo ikiwa baadhi ya wanaohudhuria wanapenda kutumbuizwa kwa muziki aina hiyo. Bw Mohamed Hussein Noor, alisema ni wazi waandalizi huwa wanafuata kile wanachoona kinawapendeza wakazi na wageni wanaohudhuria tamasha hizo za utamaduni. Alieleza kuwa, imekuwa wazi wakati maonyesho ya nyimbo za kiasili yanapoandaliwa ikiwemo Qasida, mashairi ya Kiamu, Kirumbizi, Goma la Lamu na kadhalika ni watu wachache hujitokeza. Mwanzilishi wa Tamasha za Utamaduni Lamu, Bw Ghalib Alwy, alisema si vibaya kukaribisha wasanii wa Bongo Flava na wengineo kuzitia nakshi tamasha hizo. “Si wasanii wa Tanzania pekee. Hata wale wa kutoka Misri, Morocco, Oman na kwingineko tumewaalika Lamu mara nyingi wakati wa maadhimisho ya tamasha zetu,” akasema Bw Alwy.
NYIMBO hufanana pakubwa na mashairi, hasa kimuundo. Kwa kuwa wimbo ni kipera kimojawapo cha utanzu wa ushairi simulizi, ni muhimu tujijuze zaidi kuhusu baadhi ya vigezo vinavyofanya kipera hiki kuainishwa kama ushairi. Makala haya yatafafanua zaidi kufanana kwa nyimbo na mashairi. Kwanza, ushairi huwa na sehemu inayorudiwarudiwa au kiitikio katika mshororo wa mwisho wa kila ubeti. Nyimbo pia huwa na sehemu inayorudiwarudiwa ingawa hutokea kama ubeti mfupi unaorudiwa badala ya kila mshororo wa mwisho wa ubeti kama ilivyo katika ushairi. Mashairi hupangwa katika vifungu vya mishororo mbalimbali ambavyo huitwa beti. Kila kifungu huwa na ujumbe wake tofauti tofauti. Nyimbo pia huwa na vifungu mbalimbali ambavyo hupitisha ujumbe tofauti wa wimbo huo. Katika nyimbo, vifungu hivi ambavyo hujengwa kwa mishororo mbalimbali huitwa stanza. Mbali na hayo, mashairi huwa na mizani inayolingana katika mishororo ili kuyasaidia mashairi haya kukaririwa kwa mapigo yenye muwala fulani. Nyimbo pia huwa silabi au mizani iliyo na urari ili kuwezesha utungo huu kuwa na mapigo ya kimuziki na hivyo basi kuufanya wimbo kuwa na muwala maalumu unaousaidia wimbo kuimbika. Isitoshe, mashairi huwa na vina vya kati na vina vya mwisho ambavyo husaidia katika ukariri wa mashairi hayo. Vina katika nyimbo hubainisha urari ili kuwezesha wimbo kuwa na mapigo sawa ya kimuziki na hivyo hufanikisha uimbaji wake. Mashairi hutumia lugha ya mkato ili kusawazisha mizani na vina katika ushairi. Halikadhalika, nyimbo hutumia lugha ya mkato ili kuleta muwala na mapigo ya muziki katika wimbo husika. Aidha, beti katika mashairi mara nyingi huwa na mishororo inayolingana. Baadhi ya nyimbo pia huweza kuwa na idadi sawa ya mistari katika stanza ili kuleta uwiano wakati wa uimbaji wa nyimbo husika.
KwaZulu-Natal police commissioner Gen Nhlanhla Mkhwanazi is confident the investigation into the murder of popular rapper Kiernan AKA Forbes and his friend Tebello Tibz Motsoane is proceeding well.
Staa wa muziki kutokea nchini Nigeria, David Adeleke, maarufu kama Davido, amedai kuwa madaktari bora ambao wanafanya kazi nchini Marekani wengi hutokea nchini Nigeria. Davido ameyasema hayo alipokuwa akiangazia michango ya waafrika katika sekta ya taaluma na ubunifu kupitia lininga ya Afric TV. “Madaktari bora zaidi Marekani ni Wanigeria. Hata katika ‘record label’ yangu waafrika […] The post Madaktari wazuri wanaotibu nchini Marekani ni wa Nigeria first appeared on Millard Ayo.
Gwiji kutoka nchini Tanzania, Lady Jaydee, anayejulikana pia kama ‘Malkia wa Bongo Flava’ amesaini mkataba wa usambazaji na kampuni ya Universal Music Group East Africa (UMG EA). Yote yanajiri mwezi mmoja baada ya kutambulishwa kwenye jukwaa la Bongo Flava Honors kwa mchango wake mkubwa katika ukuaji wa muziki wa Bongo Flava nchini Tanzania. Dili hilo […] The post Lady Jay Dee alamba dili la usambazaji na Universal Music Group EA first appeared on Millard Ayo.
NA JOSEPH SHALUWA ALBAMU mpya ya staa wa muziki nchini Nigeria, Eric Bellinger inayokwenda kwa jina la ‘It’ll All Make Sense Later’ imewashirikisha mastaa kibao akiwemo Burna Boy ambaye ana Tuzo ya Muziki ya Grammy. Mastaa wengine walioshirikishwa kwenye albamu hiyo ni pamoja na mkali wa RnB kutoka Ghana, Gyakie na mastaa wengine kutoka Nigeria […]
Kanye West anakabiliwa na shtaka jingine la utovu wa nidhamu, safari hii kutoka kwa mwanamitindo aliyemtuhumu kwa unyanyasaji wa kijinsia wakati wakifanya video ya wimbo wake mwaka 2010 akiwa video vixen. Mwanamke huyo, mshiriki wa zamani wa America’s Next Top Model Jenn An, aliwasilisha kesi hiyo huko New York mnamo Ijumaa (Novemba 22), kwa The […] The post Kanye West ashitakiwa na video vixen kwa kumnyanyasa kingono first appeared on Millard Ayo.
Msanii wa muziki Grimes, jina lake halisi Claire Boucher, ameeleza changamoto alizokutana nazo katika kesi ya malezi dhidi ya aliyekuwa mwenzi wake, Elon Musk. Kupitia mtandao wa X, Grimes alisema alitumia mwaka mzima kupigania haki zake kama mama, akimwelezea Musk kama “mtu asiyeweza kutambulika”. Grimes alieleza kuwa machapisho yake ya mitandaoni yalitumiwa dhidi yake katika […] The post Ex wa Elon musk afunguka changamoto za malezi zilizomfanya kufilisika first appeared on Millard Ayo.