Unasubiriwa wewe tu hapa Supedom Masaki

Milard Ayo
Published: Oct 19, 2024 15:02:51 EAT   |  Entertainment

Ni siku ya Tuzo za Tanzania Music Awards zinazotolewa kwa wale waliofanya vizuri kwa mwaka 2023 Kwenye upande wa Muziki hapa bongo, location ni Masaki na chimbo ni The Dome kuna mengi ila kwa sasa tukuoneshe muonekano wa eneo litakalo andika historia kwenye Muziki wa bongo leo…           

The post Unasubiriwa wewe tu hapa Supedom Masaki first appeared on Millard Ayo.