Mtanzania News

Tanzania, Hungary zasaini mkataba wa ushirikiano sekta ya maji

Na Esther Mnyika Mtanzania Digital Serikali ya Tanzania na Hungary zimesaini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya maji utakaosaidia udhibiti wa mafuriko na maji taka ambao umekuwa changamoto. Ikumbukwe kuwa...

22 minutes ago


Habari Leo News

Dk Biteko avunja bodi kampuni ya Tanesco

MWANZA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameagiza kuvunjwa kwa bodi ya kampuni tanzu ya TANESCO ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji...

28 minutes ago


Mtanzania News

UWT kuwezesha wanawake nchini kupata nishati safi ya kupikia

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umedhamiria kwa vitendo kutekeleza dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha inamtua kuni mwanamke kichwani kwa kuhakikisha inazalisha...

40 minutes ago


Taifa Leo News

Afisi za UDA Bondo zachafuliwa na wahuni

KASSIM ADINASI VIJANA wenye hasira mnamo Jumatano walivamia jengo la afisi za UDA katika eneobunge la Bondo, Kaunti ya Siaya na kulipaka matope na uchafu. Bondo ni nyumbani na ngome...

44 minutes ago


Milard Ayo News

China Kinara Uwekezaji Tanzania :Dkt. Tausi Kida

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida, amesema kuwa juhudi kubwa zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita ya kuhamasisha uwekezaji imefanikisha ongezeko la usajili...

1 hour ago


Habari Leo News

Samia: Tutafanyia kazi ripoti ya CAG, Takukuru

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali  itafanyia kazi mambo yaliyoibuliwa katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)  na taarifa ya utendaji kazi wa Taasisi...

1 hour ago


Habari Leo News

Madiwani wataka Jeshi lishughulikie na’Kamchape’

KIGOMA: Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wameiomba serikali kulikabidhi jeshi la polisi kazi ya kupambana na vitendo vya waganga matapeli maarufu kama Kamchape kutokana na vitendo...

1 hour ago


Milard Ayo News

12 wakamatwa kwa kula mchana wa Ramadhan hadharani ZNZ

Kufuatia taarifa mbali mbali zilizokua zikisamba mitandaoni zilizokua zikidai kuna baadhi ya watu hua wanatabia za kula hadharani mchana wa Ramdhani Zanzibar jeshi la polisi lilifuatilia taarifa hizo na kubaini...

1 hour ago


Taifa Leo News

AMINI USIAMINI: Kuku ni ‘mjukuu’ wa T-Rex

NA PETER MWORIA KUKU ndio viumbe wanaoishi ambao ni wa karibu sana na jamii ya viumbe walioangamia duniani walioitwa T-Rex. Viumbe hao ambao jina lao la kisayansi ni Tyrannosaurus rex, ...

1 hour ago


Habari Leo News

CAG abaini kitu mita za Tanesco

DODOMA: RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, imeibua madudu kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Akisoma ripoti...

1 hour ago


Load More...

Trending on YouTube

Thumbnail
Nandy ft G nako, Joh Makini, Rosa Ree, Khaligraph Jones, Moni & Stamina - DAH Remix (Official Video)
Thumbnail
Jux - Bado (Official Audio) [Visualizer]
Thumbnail
Harmonize - Side N***a (Official Music Video)
Thumbnail
Billnass feat Mbosso - Number One (Official Music Video)
Thumbnail
Ibraah Feat. Harmonize - Dharau (Official Lyrics Video)
Thumbnail
Jay Melody - Baridi (Official Video)
Thumbnail
Zuchu ft Dadiposlim - Zawadi (Official Music Video)
Thumbnail
CHAWA WA BASATA & ZUCHU - USWEGE MURDERER
Thumbnail
Stamina Shorwebwenzi - Msanii Bora Wa Hip Hop (Official Video)
Thumbnail
TUNDA MAN -TUNAITAKA NUSU (Official video lyrics)

Job Vacancies





Entertainment