Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 21th Mbudya Island DSM

Milard Ayo
Published: Dec 17, 2024 07:24:33 EAT   |  Entertainment

Good news ninayotaka kukusogezea kwa wewe mpenda burudani hususani muziki wa Afrika Kusini  unaotamba kwasasa maarufu kama Amapiano. Ni kwamba warembo wanaounda kundi la liitwalo  Tango Supreme wanatarajiwa kuzichezesha live nyimbo za nchini kwao katika kisiwa kiiitwacho Mbudya kilichopo Jijini DAR ES SALAAM Warembo hao watapanda  katika jukwaa litakalofungwa Elements Masaki Dar es Salaam mahali ambapo […]

The post Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 21th Mbudya Island DSM first appeared on Millard Ayo.

Good news ninayotaka kukusogezea kwa wewe mpenda burudani hususani muziki wa Afrika Kusini  unaotamba kwasasa maarufu kama Amapiano.

Ni kwamba warembo wanaounda kundi la liitwalo  Tango Supreme wanatarajiwa kuzichezesha live nyimbo za nchini kwao katika kisiwa kiiitwacho Mbudya kilichopo Jijini DAR ES SALAAM

Warembo hao watapanda  katika jukwaa litakalofungwa Elements Masaki Dar es Salaam mahali ambapo watakutana na mashabiki zao.

Event hiyo imepewa nguvu na Club ya 1245 huku wakishirikiana na Str8upvibes.

Warembo wanatarajia kukutana na mashabiki zao mnamo tarehe 21th December, 2024 Jumamosi hii.

The post Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 21th Mbudya Island DSM first appeared on Millard Ayo.