Yanga watua Kigoma

Habari Leo
Published: Feb 21, 2025 12:27:50 EAT   |  Sports

KIGOMA; Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Kigoma mchana wa leo Ijumaa Februari 21, 2025 kwa ajili ya mchezo…

The post Yanga watua Kigoma appeared first on HabariLeo.

KIGOMA; Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Kigoma mchana wa leo Ijumaa Februari 21, 2025 kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mashujaa Jumamosi Uwanja wa Lake Tanganyika. (Picha na mtandao wa Yanga).

The post Yanga watua Kigoma appeared first on HabariLeo.