Opposition party ACT-Wazalendo chairman and first vice President of Zanzibar, Othman Masoud Othman has reiterated his party's commitment to transforming the country's leadership to ensure justice, equality, and sustainable development for all citizens.
As the year winds down, the internet is about to be flooded with two types of people: those flexing their 2024 wins like they’ve unlocked life’s cheat codes and those squinting at their vision boards.
As the year winds down, the internet is about to be flooded with two types of people: those flexing their 2024 wins like they’ve unlocked life’s cheat codes and those squinting at their vision boards.
Having been the League’s title holder for four consecutive seasons, Yanga are currently a pathetic outfit going through a rough patch, either losing or winning with difficulty.
The hotel, expected to be completed by mid-2025, will feature 74 rooms, including suites specifically designed for high-profile guests such as heads of state
KAMPUNI inayohusishwa na familia ya Waziri wa Masuala ya Madini, Hassan Joho italipwa Sh9 bilioni ili kuachana azma yake ya kupata ardhi ya ekari 79 kwenye barabara ya Ngong Nairobi,...
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 8, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
The post Habari...
KAMPUNI ya ulinzi inayofanya kazi katika kampuni ya kimataifa ya kutengeneza simiti na maafisa wa polisi walio katika ardhi kubwa inayozozaniwa, wamelaumiwa kwa kusababisha mateso, ubakaji na ukiukaji mwingine wa...
TIMU za Ligi Kuu zinaendelea kupungua kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya Dodoma Jiji nayo kuaga kufuatia kipigo cha penalti 5-6 dhidi ya Leo Tena ya mkoani Kagera.
HUSSEIN Mohammed alikuwa mbioni kutwaa urais wa Shirikisho la Soka Nchini (FKF) baada ya kuibuka kifua mbele katika raundi ya kwanza na kumfanya mpizani wa karibu Doris Petra kuinua mikono,...
KIKOSI cha maafisa wa usalama kinachodumisha amani Haiti kimekanusha ripoti kwamba maafisa wa polisi wa Kenya wamewasilisha barua za kujiuzulu kwa kucheleweshewa mshahara.
Shirika la habari la Reuters liliripoti Ijumaa...
KIKOSI cha Yanga jana usiku kilikuwa uwanjani kumenyana na MC Alger ya Algeria katika mechi ya pili ya Kundi A ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku nyuma kocha mkuu wa...
MAMLAKA ya Kitaifa ya Barabara Kuu (KeNHA), imetangaza kuwa madereva wanaotumia barabara kuu ya Nairobi-Nakuru wanapaswa kutarajia kutatizika kuanzia katikati ya Desemba hadi Januari 2025.
Kulingana na mamlaka hiyo, usumbufu...
KIONGOZI wa Narc Kenya, Bi Martha Karua amemshutumu Rais William Ruto na wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kuunda 'muungano hatari ' ili kuendeleza utekaji nyara na hata...