Wizkid mwanamuziki anayelipwa pesa nyingi zaidi barani Afrika kwenye Spotify
Mwanamuziki wa Nigeria, Ayodeji Balogun maarufu kama Wizkid, ametajwa kuwa mtu anayelipwa pesa nyingi zaidi barani Afrika kwenye mtandao wa Spotify. Kwa mujibu wa Chart Masters (taasisi inayofuatilia takwimu za muziki), Wizkid ameibuka kidedea barani kwa kuingiza Dollar Milioni 1 (ambayo ni sawa na Bilioni 2.5 za kitanzania). Orodha hiyo imetaja wanamuziki kadhaa wanaopata pesa […]
The post Wizkid mwanamuziki anayelipwa pesa nyingi zaidi barani Afrika kwenye Spotify first appeared on Millard Ayo.
Mwanamuziki wa Nigeria, Ayodeji Balogun maarufu kama Wizkid, ametajwa kuwa mtu anayelipwa pesa nyingi zaidi barani Afrika kwenye mtandao wa Spotify.
Kwa mujibu wa Chart Masters (taasisi inayofuatilia takwimu za muziki), Wizkid ameibuka kidedea barani kwa kuingiza Dollar Milioni 1 (ambayo ni sawa na Bilioni 2.5 za kitanzania).
Orodha hiyo imetaja wanamuziki kadhaa wanaopata pesa nyingi zaidi barani Afrika inaongozwa na Wanigeria, isipokuwa Tyla wa Afrika Kusini
1.Wizkid – $1 million
2. Burna Boy – $782,148
3. Tems – $660,210
4. Tyla – $607,804
5. Davido – $458,615
6. Asake – $451,553
7. Omah Lay – $421,123
8. Ayra Starr – $400,972
9. Rema – $367,973
The post Wizkid mwanamuziki anayelipwa pesa nyingi zaidi barani Afrika kwenye Spotify first appeared on Millard Ayo.